Baada ya kufiwa na ndugu yangu ndiyo nimegundua Tanzania tunachemka

Kama wakubwa wanakufa na hakuna anaeshtuka, ww kajamba nani ni nani hadi afe wenyewe washtuke?

R.I.P ndugu yetu.
 
Morogoro hospital (jina kapuni) nurse alifariki kwa corona just few weeks past na ilijulikana ni Corona baada ya vipimo kurudi vikiwa positive na tayari akiwa ameshazikwa. Eneo hilo kila siku wanazika na idadi ya waliokufa bado ni hiyo hiyo 16

Pili rafiki yangu kaka yake alikuwa France na kurudi Tanzania akiwa hana dalili za Corona,wamemuweka karantini siku 14 na kumruhusu kwenda nyumbani,amefika siku chake akabanwa na kifua (matatizo ya kupumua),homa na kichwa nae tumezika idadi iko palepale 16!! Acheni kutupeleka kama Karne ya 17 buana

Sent using Jamii Forums mobile app

Wa kukabili ni jiwe mwenyewe hawa wengine ni njaa zao tu.
 
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.

Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.

Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).

Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.

Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?

Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?

Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.

Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.

Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.
Asante na pole kwa msiba. Serikali hii ni ya kulaumu sana na inalikabili tatizo la corona kisiasa kuliko ki-tabibu. WHO walichunguza mashine za kupima corona wakasema zipo vizuri kabisa hakuna shida. Lakini serikali imejikita kwamba tatizo ni mashine ili kuficha namba ya maambukizi. Ni wiki 2 sasa hakuna taarifa mambo yamefichwa kwasababu za kulinda sifa au umaarufu wa chama au mtu fulani. Tukiendelea kuendekeza ccm tutapata shida sana, watanzania tubadilike.
 
Hakuna kitu kinauma kama kumuona ndugu yako anapumua kwa shida and nothing you can do about it. Ikifikia stage hiyo bila oxygen mwisho wake ni kifo tu. Pole sana
 
Huyo ni muongo tu
Unalipwa nini kuwa na akili ya kipuuzi hivi!!?
Unamfahamu mtoa mada hadi uuite aliouelezea kuwa ni uongo au ni nini cha uongo hapo? Je huoni ni busara, kama kweli mashine zetu za kupima corona zina walakini, Serikali kufanya hima kuagiza kwa dhararu mashine nyingine ambazo zina aminika? Unaona ni sahihi siku zinaenda tu bila kuendelea kupima watu? Mtu ambaye katika nyumba yake si tu kuna msiba (hata kama kuna mgonjwa) na ambaye anahitaji kujua afya yake, huoni ni busara kuwa alitakiwa amepimwa? Huoni kuwa labda angepimwa na kukutwa nao kwa maamuzi yake (maana hatujalazimishwa kukaa ndani) angeamua kukaa ndani na kuokoa WaTz wengine?! Hata ukiwa Msukuma usijitoe akili kiasi hiki (ficha upumbavu wako hata kama umepewa nafasi ya kuficha ID yako)!
 
Ndugu yako Kara bado unamuita Rais wako mpendwa?..haya endelea
 
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.

Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.

Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).

Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.

Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?

Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?

Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.

Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.

Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.

Niliwahi kuchangia humu mapema kabisa kuwa tatizo la corona ni zaidi ya barakoa na maji titirika! Ukipata athari zake ndiyo utaelewa kuwa bado serikali ina sehemu zake za msingi inatakiwa izifanyie kazi ili kuokoa watu wake dhidi ya huu ugonjwa!

Kuna mwenzio amefiwa mfululizo, ye ni mfia chama kabadilika mwenyewe! Kila wakati analia tu na sasa ukimuuliza serikali imefanya jitihada zozote anajibu kwa msisitizo kuwa ni 'HAPANA HAIJAFANYA CHOCHOTE'.
 
Mkuu si utuambie tu ni hospital ya wilaya kilosa habari zipo mtaani njoo kwanza Kilosa Pub unywe castle
Morogoro hospital (jina kapuni) nurse alifariki kwa corona just few weeks past na ilijulikana ni Corona baada ya vipimo kurudi vikiwa positive na tayari akiwa ameshazikwa. Eneo hilo kila siku wanazika na idadi ya waliokufa bado ni hiyo hiyo 16

Pili rafiki yangu kaka yake alikuwa France na kurudi Tanzania akiwa hana dalili za Corona,wamemuweka karantini siku 14 na kumruhusu kwenda nyumbani,amefika siku chake akabanwa na kifua (matatizo ya kupumua),homa na kichwa nae tumezika idadi iko palepale 16!! Acheni kutupeleka kama Karne ya 17 buana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unataka je kama kujifungia si unaruhusiwa wewe na familia yako,mbona unajifanya unawahurumia sana watu wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria kwanza ndio ukomenti, huu ugonjwa siyo issue ya familia moja pekee unahitaji kila mtu, kila familia, kijiji/mtaa, kata , tarafa, Wilaya, mkoa, nchi na mataifa yote kuchukua hatua sitahiki , familia moja ikijifungia wakati wengine wako nje business as usual itasaidia nini? Tumuombe Mungu wanaopotosha watekeleze wajibu wao , TUTAISHA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalipwa nini kuwa na akili ya kipuuzi hivi!!?
Unamfahamu mtoa mada hadi uuite aliouelezea kuwa ni uongo au ni nini cha uongo hapo? Je huoni ni busara, kama kweli mashine zetu za kupima corona zina walakini, Serikali kufanya hima kuagiza kwa dhararu mashine nyingine ambazo zina aminika? Unaona ni sahihi siku zinaenda tu bila kuendelea kupima watu? Mtu ambaye katika nyumba yake si tu kuna msiba (hata kama kuna mgonjwa) na ambaye anahitaji kujua afya yake, huoni ni busara kuwa alitakiwa amepimwa? Huoni kuwa labda angepimwa na kukutwa nao kwa maamuzi yake (maana hatujalazimishwa kukaa ndani) angeamua kukaa ndani na kuokoa WaTz wengine?! Hata ukiwa Msukuma usijitoe akili kiasi hiki (ficha upumbavu wako hata kama umepewa nafasi ya kuficha ID yako)!
Kwa kifupi Serikali haiko serious. Tuliaminishwa Tanzania ina urafiki na Chini kwa kihistoria, Je ni kweli tumeshindwa kuomba hata mashine za kuazima na kuizigawa mfano moja ikawa Arusha, zingine Mwanza,Bukoba,Mbeya Dodoma na Morogoro!! Hadi nawaonea wivu Wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante na pole kwa msiba. Serikali hii ni ya kulaumu sana na inalikabili tatizo la corona kisiasa kuliko ki-tabibu. WHO walichunguza mashine za kupima corona wakasema zipo vizuri kabisa hakuna shida. Lakini serikali imejikita kwamba tatizo ni mashine ili kuficha namba ya maambukizi. Ni wiki 2 sasa hakuna taarifa mambo yamefichwa kwasababu za kulinda sifa au umaarufu wa chama au mtu fulani. Tukiendelea kuendekeza ccm tutapata shida sana, watanzania tubadilike.
85% ya Watanzania tu mafa.keni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.

Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.

Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).

Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.

Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?

Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?

Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.

Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.

Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.
Pole, lakini tuliyataka wenyewe. Kwani Tanzania hatuna watanzania wenye uwezo wa kuongoza nchi hadi tutafute wanyarwanda?.Hakuna kipimo chini ya jua chenye uhakika wa asilimia 100. Vipimo vyote duniani vina mapungufu, usipolijua/usipolikubali hili utakuwa si mwanasayansi/msomi
 
Me ninachoamini kuna familia za wa MH; hazijaguswa na kupoteza ndugu zao kwa ugonjwa huu, ndio maana inakuwa hivi hii hali iliyopo sasa, machungu ya uliyefiwa ni tofauti na ambaye hajafiwa mzee,pole sana kwa msiba mwananzengo wa Jf, ila kachek afya kabla hujarudi shytown.
 
Back
Top Bottom