Baada ya kufiwa na ndugu yangu ndiyo nimegundua Tanzania tunachemka

Pole sana ndugu mfiwa kazi ya mungu haina makosa japo wakati mwingine uzembe wa watu/ viongozi pia huchangia hili. Kwa mfano hapa nilipo ni makao makuu ya mkoa X hapa mwanzoni michezo yote kama dtaft, bao, pooltebo zilipigwa marufuku ila baada tu speech ya mkuu wa nchi kila kitu kilirejea kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yako hakuwa na tatizo lengine kubwa la kiafya?
 
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.

Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.

Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).

Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.

Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?

Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?

Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.

Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.

Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.

Pole sana. Hii kitu sio mchezo ni kuchukua taadhari on your own.
 
Unalipwa nini kuwa na akili ya kipuuzi hivi!!?
Unamfahamu mtoa mada hadi uuite aliouelezea kuwa ni uongo au ni nini cha uongo hapo? Je huoni ni busara, kama kweli mashine zetu za kupima corona zina walakini, Serikali kufanya hima kuagiza kwa dhararu mashine nyingine ambazo zina aminika? Unaona ni sahihi siku zinaenda tu bila kuendelea kupima watu? Mtu ambaye katika nyumba yake si tu kuna msiba (hata kama kuna mgonjwa) na ambaye anahitaji kujua afya yake, huoni ni busara kuwa alitakiwa amepimwa? Huoni kuwa labda angepimwa na kukutwa nao kwa maamuzi yake (maana hatujalazimishwa kukaa ndani) angeamua kukaa ndani na kuokoa WaTz wengine?! Hata ukiwa Msukuma usijitoe akili kiasi hiki (ficha upumbavu wako hata kama umepewa nafasi ya kuficha ID yako)!
Hawa akina mataga ni wapuuzi sana.
 
Rafiki yangu kalazwa hospital ya ugogoni kongwa, nae Yuko hoi kwa haya maradhi... ni dereva wa ambulance
wabongo wenzangu tuwe makini gonjwa lipoooo
 
Pole, lakini tuliyataka wenyewe. Kwani Tanzania hatuna watanzania wenye uwezo wa kuongoza nchi hadi tutafute wanyarwanda?.Hakuna kipimo chini ya jua chenye uhakika wa asilimia 100. Vipimo vyote duniani vina mapungufu, usipolijua/usipolikubali hili utakuwa si mwanasayansi/msomi
Huyo mnyarwanda tumpige chini anatupeleka siko.
 
Unalipwa nini kuwa na akili ya kipuuzi hivi!!?
Unamfahamu mtoa mada hadi uuite aliouelezea kuwa ni uongo au ni nini cha uongo hapo? Je huoni ni busara, kama kweli mashine zetu za kupima corona zina walakini, Serikali kufanya hima kuagiza kwa dhararu mashine nyingine ambazo zina aminika? Unaona ni sahihi siku zinaenda tu bila kuendelea kupima watu? Mtu ambaye katika nyumba yake si tu kuna msiba (hata kama kuna mgonjwa) na ambaye anahitaji kujua afya yake, huoni ni busara kuwa alitakiwa amepimwa? Huoni kuwa labda angepimwa na kukutwa nao kwa maamuzi yake (maana hatujalazimishwa kukaa ndani) angeamua kukaa ndani na kuokoa WaTz wengine?! Hata ukiwa Msukuma usijitoe akili kiasi hiki (ficha upumbavu wako hata kama umepewa nafasi ya kuficha ID yako)!
Ass!
 
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.

Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.

Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).

Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.

Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?

Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?

Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.

Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.

Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.
Vipimo vinatibu? hakuna dawa wala chanjo hivyo usitegemee Rais kuja kukukinga wewe na familia yako, zingatieni taratibu na hatua zote za kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa huo kama tunavyoshauriwa na kuelekezwa na wataalamu wa afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa msiba ndugu.
Tuzidi kuombeana watanzania,
Na tuache kutenda dhambi.
Mungu atatusikia!
 
. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).
Huyo.nfugu yako aliyekufa Hana jina? Eti ohh katoa ofisini kwani hawezi pata Kwingine? Ulichoandoka Ni umbeya mtupu uliojaa uongo kuanzia mwanzo Hadi mwisho

Sikupi pole kwa msiba wa kutunga!! Msiba hewa!!
 
Sijajua una umri gani lakini wacha nikuite dogo tu ......ni hivi nakuombea sana hiki kikombe kisikupitie .......tena omba san dogo! wengine tumo humu tunatamani tuwatukane hata matusi makubwa tu ya nguoni ....... ebu fikiria mtu anyepoteza wanafamilia wawili ndani ya siku 3 halafu unakoment ufala ........ yaani wewe ni sawa na huyu fala ........ ipo siku iaitakulipukia makalioni si unaikalia
police.png
 
WA MIKOANI MNAHOFU SANA SISI WA DAR TUPO SALAMA NA TAHADHARI TUNACHUKUA MAAANA MNAVYOFIKIRI KILA SIKU KILA MTAA KUNA MSIBA.
 
Sijajua una umri gani lakini wacha nikuite dogo tu ......ni hivi nakuombea sana hiki kikombe kisikupitie .......tena omba san dogo! wengine tumo humu tunatamani tuwatukane hata matusi makubwa tu ya nguoni ....... ebu fikiria mtu anyepoteza wanafamilia wawili ndani ya siku 3 halafu unakoment ufala ........ yaani wewe ni sawa na huyu fala ........ ipo siku itakulipukia makalioni si unaikaliaView attachment 1451219
Andika majina yao acha porojo wewe wa Kwanza kufiwa ? hata ukifiwa toa taarifa za wazi na kweli sio za kutunga
 
[/QUO
Mmojawapo ni yule naibu meya wenu wa Moro ni ndugu yangu na aliyekuwa anamuuguza umefulrahi sasa eh!
 
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.

Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.

Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).

Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.

Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?

Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?

Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.

Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.

Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.
Ujinga wako uko hapo kwenye "kumkubali"

Umemkubali akuulie mdogo wako hivyo huna sababu ya kusikitika.

Huyu mtu ni murderer.
 
Back
Top Bottom