The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,397
- 1,474
Jitafakari mkuu huko unakolekea siko kabisaAcha uongo wako wewe!! Tumeshawajua janja yenu!!
Jitafakari mkuu huko unakolekea siko kabisaAcha uongo wako wewe!! Tumeshawajua janja yenu!!
Mwanzo walifikiri unaua wasiomkubali jiwe tu.Wengi wanashutuka ndugu zao wakifa kama wewe
Utu kwanza mkuu......usiwe harsh kiasi hicho kwenye post kama hizi ni bora hata unge mute tuAndika majina yao acha porojo wewe wa Kwanza kufiwa ? hata ukifiwa toa taarifa za wazi na kweli sio za kutunga
hakuna faraja katika kujua idadi ya maambukizi,labda mna ajenda zenu kisiasa,hata kauli yako inakinzana.maana utachukua muongozo baada ya kuogopa.Akiwa kama Amir Jeshi Mkuu, Rais alipaswa kutupatia takwimu za maambukizi na vifo kila siku, kutoa muongozo wa kujikinga pia kutufariji raia wake.
utadhania ndugu yake angepona kwa vipimo.Pole kwa msiba ndugu.
Lakini naona unalalamika vipimio vipimo kwani ukipimwa ndo unapona corona.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kujitibu kwa njia mbadala
nadhani wewe ndio ungekaa kimya.kama corona imekuja kuwa kirusi katika maisha yetu ya lazima,ulitegemea rais afunge kazi halafu ule mablanket ndani??Mkuu hii ungekuwa msomaji tu.
Unafikiri wanaokufa kwa Corona wote hawanawi mikono kwa maji yanayo tiririka na sabuni, hawavai barakoa?
Kama kazini anahitajika unafikiri ataweza kukaa nyumbani afutwe kazi au anyimwe mshahara wake?
Angalia haya mengine ukitia neno kishabiki karma isije shughulika na wewe ukajikuta unaguswa kwa namna yeyote na hili janga. Take care and be careful with your word.
Hili janga ni mtihani, ukifungia watu ndani ni shida, ukiwaachia watu ni shida basi ilimradi tafrani tu.
Hivi ulinisoma hapa kabla hujanijibu?nadhani wewe ndio ungekaa kimya.kama corona imekuja kuwa kirusi katika maisha yetu ya lazima,ulitegemea rais afunge kazi halafu ule mablanket ndani??
Hili janga ni mtihani, ukifungia watu ndani ni shida, ukiwaachia watu ni shida basi ilimradi tafrani tu.
ndio sababu nikaandika hivyo.Hivi ulinisoma hapa kabla hujanijibu?
Kigogo alimtoa? Au ndio yule mfanyakazi wa US Embassy MC?Wafanyakazi wenzake wanajua. Si lazima waambiwe na mtu Toka Shinyanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwemo mtoa madaWaimba mapambio endeleeni tu kusifu na kuabudu...
Weka cheti cha kifo kuthibitisha kama marehemu alikufa kwa coronaUkiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu ya
Una laana mkuu, nilitaka nikae kimya wacha niongee. Usituongezee machungu nimepoteza marafiki wawili last week yaani kwa interval ya siku 3 tu. Kuwa na utu japo kwa kipindi hiki basi. Nimejilockdown kwa muda sasa sasa pengine na mimi ningekuwa kama wao kwani tulikuwa very close. Si lazima upinge kila kitu mkuu.Andika majina yao acha porojo wewe wa Kwanza kufiwa ? hata ukifiwa toa taarifa za wazi na kweli sio za kutunga
tuwekee vyeti vyao vya vifo vinavyoonyesha wamekufa kwa corona tukuamini vinginevyo Wewe ni mwongo tu kama waongo wengine ila wako umekubuhu kwa kuwa unapitia kwenye kusingizia vifo hewaUna laana mkuu, nilitaka nikae kimya wacha niongee. Usituongezee machungu nimepoteza marafiki wawili last week yaani kwa interval ya siku 3 tu. Kuwa na utu japo kwa kipindi hiki basi. Nimejilockdown kwa muda sasa sasa pengine na mimi ningekuwa kama wao kwani tulikuwa very close. Si lazima upinge kila kitu mkuu.
Hivi wewe kiazi mtu anapata faida gani kusingizia kifo? hivi kichwani kwako upo sawa kweli wewetuwekee vyeti vyao vya vifo vinavyoonyesha wamekufa kwa corona tukuamini vinginevyo Wewe ni mwongo tu kama waongo wengine ila wako umekubuhu kwa kuwa unapitia kwenye kusingizia vifo hewa
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.
Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.
Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).
Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.
Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?
Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?
Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.
Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.
Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.
Hiyo stress uliyonayo hujapukutikiwa na ndugu kweli? Vumilia tu hivohivo, utapona.tuwekee vyeti vyao vya vifo vinavyoonyesha wamekufa kwa corona tukuamini vinginevyo Wewe ni mwongo tu kama waongo wengine ila wako umekubuhu kwa kuwa unapitia kwenye kusingizia vifo hewa
Mungu akusamehe mkuu, kwa heri na endelea na kazi yako.tuwekee vyeti vyao vya vifo vinavyoonyesha wamekufa kwa corona tukuamini vinginevyo Wewe ni mwongo tu kama waongo wengine ila wako umekubuhu kwa kuwa unapitia kwenye kusingizia vifo hewa
Hatutaki porojo aweke vyeti vyao vya vifo hapa tuvione asituletee misiba hewa ya corona isiyo na ushahidi wowote?Hivi wewe kiazi mtu anapata faida gani kusingizia kifo? hivi kichwani kwako upo sawa kweli wewe
Sasa wewe kila siku unaambiwa chukua tahadhali corona inaua unafikiri wanatania?
Sent using Jamii Forums mobile app
akikuletea vyeti utafaidi nini wewe, au utamsaidiaje! Unafikiri pole yako ina msaada gani kwake kwa sasa, by the way lengo lake siyo kupewa pole bali kuelezea hali halisi aliyopitia kuhusiana na msiba wa ndugu yake, PeriodHatutaki porojo aweke vyeti vyao vya vifo hapa tuvione asituletee misiba hewa ya corona isiyo na ushahidi wowote?
kwa hiyo tumuamini tu hewani kuwa nduguze wamekufa kwa corona tuanze kumpa pole hewa za vifo hewa?
Haya ngoja basi nimpe pole hewa
Mleta mada nakupa pole hewa kwa Vifo hewa vya ndugu zako hewa vilivyosababishwa na ugonjwa Wa corona hewa na kuzikwa kwenye makaburi hewa
Nakutakia uwe na matumaini hewa katika kipindi hiki kigumu hewa cha kuondokewa na wapendwa wako hewa