Baada ya kufiwa na ndugu yangu ndiyo nimegundua Tanzania tunachemka

POLE SANA.Sikulaumu lakini haya ndiyo matokeo ya kumwona mtu mmoja kama "kila kitu".Wengine hata kutaja jina lake moyo huchafuka kwa hasira. Usitegemee awe na huruma kwa wengine kama shehena toka Madagascar kabugia yeye na genge lake kana kwamba aliagiza mzigo binafsi. Huu ni wakati wa kuzinduka!
 
Pole sana mkuu. Nikufajiri tu kuwa kifo kipo na hakuna atakaye toka duniani salama.
 
Ajenda za kisiasa kwenye maisha/uhai ya watu? Au ndo nyie mnataka kutumia tatizo hili kama ARV yenu kuongeza virutubisho baada ya kuona mnataka kukata pumzi?
 
Ajenda za kisiasa kwenye maisha/uhai ya watu? Au ndo nyie mnataka kutumia tatizo hili kama ARV yenu kuongeza virutubisho baada ya kuona mnataka kukata pumzi?
sijui kama bado zina sound tena hizi mada!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…