Baada ya kufuatilia kwanini Twaha Mwaipaya ameng'ang'ania ofisi za CHADEMA baada ya uongozi wake kuisha, kumbe biashara yake ni kufuga njiwa

Yaani wauza njiwa wanataka kuongoza nchi.
Si afadhali huyonanauza Mali yake.
Kulipo genge la majambazi lililojipachika uongozi kupitia fisiem ambao wenyewe wanauza Mali za umma na kuzifisidi
 
Anakula tu posho za chama
 
Back
Top Bottom