Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Feb 17, 2025 #21 Certified Hater said: Hii kusema au kumwambia umemuita mara tatu sio kauli ya kiume. Man Click to expand... Code ya kiume hiyo, uki itwa hivyo una kumbushwa kufanya balance check ya mambo yako. Ndio maana wanao jua, wame elewa.
Certified Hater said: Hii kusema au kumwambia umemuita mara tatu sio kauli ya kiume. Man Click to expand... Code ya kiume hiyo, uki itwa hivyo una kumbushwa kufanya balance check ya mambo yako. Ndio maana wanao jua, wame elewa.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 17, 2025 Thread starter #22 GUSA ACHIA BAHASHA GOLI said: Kijana mwenzako amejipambanua kuachana na uchawa wewe unamsema vibya huku ukitegemea buku 7 za koridoni hapo lumumber Click to expand... Yaani wauza njiwa wanataka kuongoza nchi.
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI said: Kijana mwenzako amejipambanua kuachana na uchawa wewe unamsema vibya huku ukitegemea buku 7 za koridoni hapo lumumber Click to expand... Yaani wauza njiwa wanataka kuongoza nchi.
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Feb 17, 2025 #23 chiembe said: Yaani wauza njiwa wanataka kuongoza nchi. Click to expand... Si afadhali huyonanauza Mali yake. Kulipo genge la majambazi lililojipachika uongozi kupitia fisiem ambao wenyewe wanauza Mali za umma na kuzifisidi
chiembe said: Yaani wauza njiwa wanataka kuongoza nchi. Click to expand... Si afadhali huyonanauza Mali yake. Kulipo genge la majambazi lililojipachika uongozi kupitia fisiem ambao wenyewe wanauza Mali za umma na kuzifisidi
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 17, 2025 Thread starter #24 evangelical said: Si afadhali huyonanauza Mali yake. Kulipo genge la majambazi lililojipachika uongozi kupitia fisiem ambao wenyewe wanauza Mali za umma na kuzifisidi Click to expand... Anakula tu posho za chama
evangelical said: Si afadhali huyonanauza Mali yake. Kulipo genge la majambazi lililojipachika uongozi kupitia fisiem ambao wenyewe wanauza Mali za umma na kuzifisidi Click to expand... Anakula tu posho za chama
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 17, 2025 Thread starter #25 dingihimself said: Hao njiwa ni sawa na bei ya kiwanja chanika aisee!! aache utani na hela Click to expand... Hamna kitu
dingihimself said: Hao njiwa ni sawa na bei ya kiwanja chanika aisee!! aache utani na hela Click to expand... Hamna kitu