Baada ya kufuma messages za kumtumia muamala mchepuko, mke aja juu nae achukua kiasi cha pesa huku akiapa kutokirudisha. Busara ni kufanya nini hapa?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Ndo hivyo wadau!

Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya huko.

Busara ni nini hapa; mke atandikwe vibao arudishe, au?

Mke huyu vp kimtazamo, anafaa wadau?!!!
 
Safi sana mnajifanya hamna hela nyumbani mkiombwa huko nje akhaaa jambo hampati
 
Sasa 30K ndio hela ya kudaiana na mwanamke wako?!
 
Huyo mwanamke anatafuta maumivu zaidi, kwa mfano huyo mume wake akiamua kukaa kimya asiulizie hiyo 30 ni dhahiri atazidi kuumia na atatafuta jambo jingine la kufanya.

Alichotakiwa kufanya ni kumuonesha mume wake hizo sms na wakae wayazungumze.
 
Ndo hivyo wadau!
Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya huko.

Busara ni nini hapa; mke atandikwe vibao arudishe, au?
Mke huyu vp kimtazamo, anafaa wadau?!!!
Busara ni kumuongezea zifike laki tano na kutenga bajeti maalumu kwa ajili yake kila mwezi na kuhakikisha kitandani anarizishwa kwa dhati....kelele zote zitaisha.

Tatizo vijana mkipata michepuko mnasahau wake zenu. ukiwa na mchepuko ndiyo unatakiwa uzidishe malove nyumbani
 
Ndo hivyo wadau!
Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya huko.

Busara ni nini hapa; mke atandikwe vibao arudishe, au?
Mke huyu vp kimtazamo, anafaa wadau?!!!
Unamtumiaje mchepuko hela kwa kutumia namba yako ya simu! Halafu unaacha kabisa na ushahidi!! Vijana wa siku hizi mnatuangusha sana sisi wazee wenu.

Huwezi kufumaniwa kiboya kiasi hicho.
 
Ndo hivyo wadau!
Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya huko.

Busara ni nini hapa; mke atandikwe vibao arudishe, au?
Mke huyu vp kimtazamo, anafaa wadau?!!!
Busara ni kumuomba radhi yaishe
 
Yaan hiyo elfu thelathini ndio ya kuja kuomba ushaur wa nini cha kufanya kwa mkeo kweli?!! Ukue.. Nilivyosoma nilijua kachukua labda mamilioni kumbe 30k, mpende mkeo. Tena kumbe huyo mke anaishi kwa kujibana acha tu aenjoy hiko kiela
 
Mke anatakiwa kila siku achomoe pesa za kutosha kwenye hizo suruali,yaani familia inateseka baadhi ya mahitaji,mchepuko unapewa pesa tele nyooo
 
Back
Top Bottom