Busara ni kumuongezea zifike laki tano na kutenga bajeti maalumu kwa ajili yake kila mwezi na kuhakikisha kitandani anarizishwa kwa dhati....kelele zote zitaisha.Ndo hivyo wadau!
Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya huko.
Busara ni nini hapa; mke atandikwe vibao arudishe, au?
Mke huyu vp kimtazamo, anafaa wadau?!!!
Unamtumiaje mchepuko hela kwa kutumia namba yako ya simu! Halafu unaacha kabisa na ushahidi!! Vijana wa siku hizi mnatuangusha sana sisi wazee wenu.Ndo hivyo wadau!
Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya huko.
Busara ni nini hapa; mke atandikwe vibao arudishe, au?
Mke huyu vp kimtazamo, anafaa wadau?!!!
Busara ni kumuomba radhi yaisheNdo hivyo wadau!