Baada ya kufunga maombi, rafiki yangu akapatwa na janga

Hii stori kama inarelate hivi 🤔 tofauti sina rafiki wa kaliba hiyo
 
Nyie mnaopenda kuroga nadhani mmesikia. Hakuna kitu kinazidi nguvu za maombi. Endeleeni kuroga Mungu anawatandika viboko najua mmo humu na mnasoma. Kuna watu ni washirikina wananuka uganga tu eti mafanikio
 
Kwa kweli nami ninaomba kwa Mwenyezi Mungu, ikiwa kuna mtu yeyote amenifanyia ubaya kwa lengo la kusababisha mateso; basi ubaya huo umrudie yeye mwenyewe na wote waliohusika.

Kuna watu kwenye haya maisha wanaharibu sana nyota za watu. Ni destiny killers.
I swear, my destiny will never die!
Let God punish them until they confess
 
ulifanywa ndondocha,usiache kuomba Mungu yupo atakutoa kifungoni
Endelea kupalia kaa la moto na zaburi ya 35
inawezekana siyo yeye whatever wewe kazana na kazi na maombi pia mwombee rehema mbaya huyo
Amina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…