Baada ya kufunga maombi, rafiki yangu akapatwa na janga

Kwa kweli nami ninaomba kwa Mwenyezi Mungu, ikiwa kuna mtu yeyote amenifanyia ubaya kwa lengo la kusababisha mateso; basi ubaya huo umrudie yeye mwenyewe na wote waliohusika...
Amina! Kwa imani, Mungu atatenda!
 
Hivi akigundua Ni wewe unamuwashia Moto wa maombi si anaweza kurevange tena kwako hata kwa kukuua.
 
Sasa hivi dawa anaekuzingua ilimradi hujamkosea dawa ni kumwangamiza usibakize Adui hata siku moja hawaachi misheni zao
Na wakishaona unakafaida, hawakatiki.
 
Hivi akigundua Ni wewe unamuwashia Moto wa maombi si anaweza kurevange tena kwako hata kwa kukuua.
Hapo Mungu lazima amuondolee mawazo yote ya ubaya juu yako. Mara nyingi watu kama hao huja wakinyenyekea wakiomba radhi wakisema "Nisamehe ndungu yangu. Mimi ndiye nilifanya upitie magumu. Nimedhulumu baraka na nyota yako nikitaka umaarufu."

Kikubwa ni kuomba, Mungu hashindwi! '
 
Asante kwa ushuhuda huu mzuri wa maombi na nguvu za Mungu. Usimwonee huruma kamwe yeye wala familia yake. Mungu anapomwadhibu mtu usiingilie kati mwache apate adhabu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…