Dinazarde huo ubuyu wa kuzama sijaupata shostito,Walizama mbudya au wapi?Ila hapo sikumaanisha avae mavazi ya gharama ila angetafuta Shela simple an' clear.
Mbona kwenye k/party alivaa simple na alipendeza?kwenye-Shela alikosa kaubunifu tu.
Sasa mbutananga kwa ulivyo mmbea si uje tu hapa tuunganishe nguvu manake huko IG mhhh na Leo ishu ya diamond uliripoti live kutoka UK. Una mambo wewe
Hahahaa nae kazidi mbwembwe nyingiiii!Naona hakuamini macho yake km anaolewa na mzungu.Pia nahisi alifight sana ili aolewe ndo za Siku hizi za tabu jmn!!!Walienda huko Bagamoyo kupiga picha, walienda sijui kisiwa gan wakavuka na boti wakazama wakaokolewaa hhhhhaaaaa
Mbuta nanga bana anapendaga kutafutia kick kwa wenzie. Yani issue inaweza ikaongelewa weee, watu wakachamba weee yakaisha hadi tukasahau. But mbuta nanga sasa atakavyotoka alipotoka vuuu kama nzi katoka chooni, ataanza kukumbushia ya nyuma, yani anakomaa kweli.
Sasa mbuta nanga na fashion wapi na wapi jamani. Anavaaga utadhani yupo kwenye masquerade party sijui, yani full kituko. Kweli nyani haoni kundule
Flora mwenyewe kuvaa hajui
Na maviatu yake utathani ppf tower kasi sio uhuru heights
Yani ni shida tupu yaani kitukoooo, but akichambua wenzie sasa mmmh
Yale maviatu yake mabayaaaa
Mkononi na samsung yake utamtaka, sasa sijui ndo alikuwa ana match na gauni na viatu
Bado na mguu wake wa Balimi sasa mmmh
Hhhhhaaaaaa aisee nimechekaajeee
Mmh!! Nyie lucy ananiacha hoi sana, khaa, mwenyew ndo kashika mkononi mwenyew simu yake, sasa sijui ndo alikuwa ana post picha insta maana aliona mpaka harus iishe atachelewa au alijua mkanda utaungua maana sio weusi ule, bi shost akasema ata apa camera 6000 lazima ihusike ila wapi bibi yule alivyo na damu ya kunguru katoka mweusi kama masizi ya mkaa
Ahahah, unapata raha hadi unakasirika, mie ndo warumi original
Warumi wewe ni mmbea uliokubuhu.Nadhani Mello akutafute maana jukwaa linajaa ukiwepo wewe mmbea maarufu duniani kwa kupitia lugha ya kiswahili.