Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dinazarde huo ubuyu wa kuzama sijaupata shostito,Walizama mbudya au wapi?Ila hapo sikumaanisha avae mavazi ya gharama ila angetafuta Shela simple an' clear.
Mbona kwenye k/party alivaa simple na alipendeza?kwenye-Shela alikosa kaubunifu tu.
Walienda huko Bagamoyo kupiga picha, walienda sijui kisiwa gan wakavuka na boti wakazama wakaokolewaa hhhhhaaaaa
Last edited by a moderator: