Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Et wakapata na ajali wakazama aisee nimecheka na kusikitika ,ila huwez jua walitaka wao hivyo kwan unadhan mzungu hakua na pesa ya shela nzuri,wazungu hua hawajali kuhusu mavazi bana
Dinnazarde dear usiwe unamfupisha DIAMOND kwa kuita DAI unapoteza radha ya jina nimekuvumilia siku nyingi mara DOMO mfano ningemwita hivyo jide KENGEZA INGEKUWA KESI....basi tujifunze mana haipendezi jina lile jina kwa uzuri wake.
Mmh!! Shera lilikuwa zuri mbona? Sema bibie nae hana damu ya nguo hata umvalishe nini bibi yule bado ataonekana kama beki tatu, hata hawachekani na jide, watu walimchambaje kwenye kitchen party, eti walimwambia hakupendeza make up hazikuendana na weusi wake wacha bibie aanze kuropoka ovyo ndo akaanza kutupa madongo, wala tatizo sio shera , unaweza kukuta mwenzio kanunua milion mbil apo, sema mwil sasa ndo mashikoro
Tatizo dai kachakaza mda mrefu na tayari ameishampa uhakika kuwa anamuoa
Ila bwana harus nae suti gani hiyo??mi naona wamechambua mpaka viatu,hadi nywele eti kasuka za 3000 kama mmewe kapenda asuke hivyo,,mi nimeona kawaida tu
Heeee naandika nitakacho sio mtakacho eeeeeee nikojoe nikutoke bibieeee hapa sio darasani,
Kushindwa kuvumilia ni usiwe unanisoma dia eti msalimie domo wako
Wote wamekutana washamba, ila bibie nae kazidi weusi ka, hata kuji softisha, maana siku izi lotion kibao zipo tena za kumwaga kama hizo queen elizabeth, maana bibie weusi wake unatisha, kama mbuzi
Afu binamu sipendi unavyotusema kina cheusi mangala ujue hahahahaha. Unataka tujisoftishe na dodo afu mkorogo ukidunda utatuchambaje kama dada rehema
Kuna weusi wa kutakata kama wa aunty ezekiel au monalisa, weusi unang'aa ngozi inateleza sasa bibie mweusi usoni ana vipele, unajua ukiwa mweusi halafu ukawa na vipere usoni watu watakuona mchafu, mtu ukiwa na ngozi nyeusi inabidi ujipende sio kwa kujichubua bali kwa kuweka ngozi yako safi na kupaka mafuta yasiyochubua yanayopendezesha ngozi, sasa bibie kha hadi make up imedunda
Kuna weusi wa kutakata kama wa aunty ezekiel au monalisa, weusi unang'aa ngozi inateleza sasa bibie mweusi usoni ana vipele, unajua ukiwa mweusi halafu ukawa na vipere usoni watu watakuona mchafu, mtu ukiwa na ngozi nyeusi inabidi ujipende sio kwa kujichubua bali kwa kuweka ngozi yako safi na kupaka mafuta yasiyochubua yanayopendezesha ngozi, sasa bibie kha hadi make up imedunda
Na yeye Lucy afinike kombe mwanaharamu apite, kwani kuolewa ndio kitu gani? Au yy ndio wa Kwanza kuolewa mpaka apige wenzie madongo? Aombee mungu ampe stara na uvumilivu .... Ndoa Mashaka yake sio madogo wala asiwapige wenzie vijembe ...Msanii maarufu wa filamu nchini, lucy komba, ambaye ivi karibuni alifunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake wa siku nyingi, ambaye ni raia wa denmark. Msanii huyo amewatupia dongo la haja wabaya wake waliokuwa wakimwambia ataishia kuvaa shera kwenye movie tu na hawezi kuolewa kweli. Kupitia ukurasa wake wa instagram lucy alipost hii picha(chini) akiambatanisha na maneno yafuatayo:
"Ni kwale waliokuwa wakisema utaishia kuvaa shera kwenye filamu tu, hizo zilikuwa ni dua la kuku, mboga dagaa tu kuku nyama ya hamu".
warumi lugha ya mawasiliano kati ya cheusi mangala(bibi harusi) na mmewe mtasha ni ipi? Au na yeye kilengeza kingi kama mama ubaya?
Huyu nae cheusi dawa anajishau, halafu Dinazarde huyu mzungu hata simuelewagi, alivyo kama hamnazo naonaga tu anavyoendeshwa na lucy, yani kama poyoyo.
Halafu naye huyu lucy toka avae hilo shera anajiona mjanja, wakat hata akina aunty na uwoya walizivaa zikawashinda, asituletee usiku apa, tutajuaje kama walikuwa wanaigiza movie je aende uko
SIjaiona binamu, nasikia ni balaa, nimeona tangazo tu cheusiku mweusi kama lami halafu kavaa wigi la blue utamtaka? Lazima niitafute ile nasikia full burudani mule