Baada ya kufunga ndoa, Lucy Komba awalipua wabaya wake

Baada ya kufunga ndoa, Lucy Komba awalipua wabaya wake

Dina bwana mbona wa mtaa wa pili yuko juu kulinganisha na honey wa Lucy. Mzungu choka mbaya unamjua kwa muonekano. Ujue ngozi zao hazihimili hewa ya asili lazima kuwepo kwa product za kung'arisha walau. Ukiona mzungu amepauka vile kuna shida. Nakuapia yule sidhani Kama hata elimu anayo kwa ninavyo mthaminisha. Ingekuwa bongo ile ni std 7 ambayo kikwao ni videgode (spelling nimekosea) skole.

Kwa hiyo lile gari alilompa mama yake ni bora angenunua shela zuri na suti nzuri za mmewe
Pamoja na hayo lakini huyo mzungu pesa ya kutanua itakuwepo tu, mfano kuna binti kaolewa na baba wa kizungu kajengewa nyumba yule binti, kwao kajengewa pia na huyo mzungu na ndoa wamefunga weer kanaringajeee hako kabintii usipimee,
 
Hehehehe Ila was Lucy ni grade 4 hahaha. Alafu ujue magari used kwao hayana bei. Tena haya madogo ukigongwa Sana ukibadili hela kwenye kitsh yaweza kuwa M.2...name kusafirisha kila kitu labda M.4 . japo siamini Kama kweli Lucy amenunua au wamenunua gari. Kwanza mzungu akikuoa hajui shida za kwenu yeye anajua amekuoa wewe. Bili mnagawana pasu. Ona watermark anavyohangaika kusanya sanya bidhaa auze. Mzungu akiona unambebesha mizigo Ana file divorce tu isiwe kero
 
Hhhhhaaaaaaaaa ni sheewdaaaaaa,lakini wapo ambao husaidia kama huyo naekuambia kaolewa na babu na pia hana kazi lakin kajengewa kwao na pia kajengewa yeye,karaha ni inakuja pale usiku unapofika ni sheeda
 
warumi umechelewa kutuletea ndoa ya petitman na esmaplatnumZ
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhaaaaaaaaa ni sheewdaaaaaa,lakini wapo ambao husaidia kama huyo naekuambia kaolewa na babu na pia hana kazi lakin kajengewa kwao na pia kajengewa yeye,karaha ni inakuja pale usiku unapofika ni sheeda
Kweli wapo wachache ila pia uganga unachangia na uongo pia kusaidiwa. Wazungu wengi wamepigwa changa LA macho yupo Mdada kibamba anaishi Norway amejenga kwa siri mzungu asijue. Wakija anasema nyumba ni ya kaka yake.wanigeria wanafoji hadi wazazi kwqmba hawana choxhote na wanaishi kwenye tende ili mzungu aone huruma asaidie. Wengine hudanganya wamezaa kumbe coz akituma hela atasema ni za mtoto.
 
warumi leta ubuyu......

Inasemekana domo alisusia????
 
Attachments

  • 1411156262685.jpg
    1411156262685.jpg
    67.6 KB · Views: 172
  • 1411156285413.jpg
    1411156285413.jpg
    71.6 KB · Views: 159
  • 1411156304940.jpg
    1411156304940.jpg
    71 KB · Views: 169
Last edited by a moderator:
Haya.....
 
Attachments

  • 1411157404028.jpg
    1411157404028.jpg
    71.1 KB · Views: 148
  • 1411157420235.jpg
    1411157420235.jpg
    61.1 KB · Views: 131
Wazungu wenye pesa wanaonekana bwana, huyo mchovu kabisa
Huyu ni wale white trash...Yaani wadada wa kiafrica wanavoshoboka kuolewa na hawa watu sijui kwanini.lakini ukifuatilia lazima wanakua na kashida mahali ilimradi tu waonekane.mwisho wa Siku show offs zote kwisha wanaanza kuwageuza wasichana wa bongo lesbian kwa kuwauzia vibraters,na nguo za china.msoto mbaya.mzungu yeye akishakuzalisha anakufanya bekitatu tu.
 
Dinazarde, Heaven Sent, Madame B, Mrembo by Nature, geniveros ebu piteni kwanza uku mpate supu ya ulimi na chapati

Mbuta nanga bana anapendaga kutafutia kick kwa wenzie. Yani issue inaweza ikaongelewa weee, watu wakachamba weee yakaisha hadi tukasahau. But mbuta nanga sasa atakavyotoka alipotoka vuuu kama nzi katoka chooni, ataanza kukumbushia ya nyuma, yani anakomaa kweli.
Sasa mbuta nanga na fashion wapi na wapi jamani. Anavaaga utadhani yupo kwenye masquerade party sijui, yani full kituko. Kweli nyani haoni kundule
 
Anapunguza maumivu maana edzen alimdangany atamuoa kaenda kuoa toto la ukwee, lazima adate
 
Et wakapata na ajali wakazama aisee nimecheka na kusikitika ,ila huwez jua walitaka wao hivyo kwan unadhan mzungu hakua na pesa ya shela nzuri,wazungu hua hawajali kuhusu mavazi bana

Dinazarde huo ubuyu wa kuzama sijaupata shostito,Walizama mbudya au wapi?Ila hapo sikumaanisha avae mavazi ya gharama ila angetafuta Shela simple an' clear.

Mbona kwenye k/party alivaa simple na alipendeza?kwenye-Shela alikosa kaubunifu tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom