Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weeeeeeeWakikumbuka mazingira ya mahakamani chini ya ulinzi na jela chini ya ulinzi, familia zao walizoziacha China, halafu ghafla mnaambiwa mko huru kukimbia ni lazima tena inawezekana safari ya kurudi China imeshaanza kwa miguu, ndege watapandia mbele ya safari.
Bora ubaki mahakamani ndani mpaka waondokeBahati yao! Polisi wetu huwa wanapenda sana kujichukulia ujiko katika maeneo hayo. Unakamatwa tena, halafu kesi inaanza upya!
Ila Hapa bongo kuna mashtaka mengne ya ajabu yani mtu unamweka mahabusu kisa tausi kweli itahitajika miaka mngne 300 kufikia level ya wenzetu
Usilinganishe na maisha halisi mkuu hakuna mtu anaependa kupigwaKungfu did not help them from justice mbona kwenye action movies ni untouchable.
Unaweza ukasikia hakimu anasema "watuhumiwa naomba mrudi nilichanganya ma file". [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameen mkuu umehitimisha vema kwenye mchango wako wa mada hii,welldone mkuuAsante Mh. RAIS ZIKO KESI NYINGINE HUWA HAZINA MAANA KABISA,ZAIDI TU YA KUITIA HASARA SEREKALI YETU, THANK YOU IN ADVANCE,
*ALLAH AKUONGEZEE UMRI MAMA YETU.
Hao hata nchini hawalali uenda midaa wanakaribia airport kwa nduki,tiketi zitawakutia airportWakikumbuka mazingira ya mahakamani chini ya ulinzi na jela chini ya ulinzi, familia zao walizoziacha China, halafu ghafla mnaambiwa mko huru kukimbia ni lazima tena inawezekana safari ya kurudi China imeshaanza kwa miguu, ndege watapandia mbele ya safari.
walifikiri ule mchezo wa kuachiwa na kukamatwa upya bado upo, kumbe uliondoka na muasisi wake !! poleni wachina ili muishi kwa adabu hapa Tanzania.Washtakiwa baada ya kuachiwa walitoka mahakamani huku wakikimbia na kupanda gari kisha kuondoka.