GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Jun 18, 2021 #41 for life said: Kungfu did not help them from justice mbona kwenye action movies ni untouchable. Click to expand... Haahhaaa!!!
for life said: Kungfu did not help them from justice mbona kwenye action movies ni untouchable. Click to expand... Haahhaaa!!!
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Jun 18, 2021 #42 Twendeni tu. Papaaa out Wachina out Sety out Kila kesi ya kiserkali itakuwa mtu ni Out.
K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,187 Reaction score 17,167 Jun 18, 2021 #43 Replica said: wote wakazi wa mtaa wa Sokoine, Ilala jijini Dar es Salaam. Click to expand... Hawa jamaa huyo tausi walimpata wapi? Replica said: mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Click to expand... Hawa ndege wapo pale Magogoni, panafanyika biashara haramu pale?
Replica said: wote wakazi wa mtaa wa Sokoine, Ilala jijini Dar es Salaam. Click to expand... Hawa jamaa huyo tausi walimpata wapi? Replica said: mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Click to expand... Hawa ndege wapo pale Magogoni, panafanyika biashara haramu pale?
K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,187 Reaction score 17,167 Jun 18, 2021 #44 Omulasil said: Twendeni tu. Papaaa out Wachina out Sety out Kila kesi ya kiserkali itakuwa mtu ni Out. Click to expand... Sasa jikite kuwazia baada ya kazi hii kutimizwa, hali itakavyokuwa baada ya hapo! Hilo ndilo linaloweza kukutia hofu kubwa zaidi kuliko zoezi hili.
Omulasil said: Twendeni tu. Papaaa out Wachina out Sety out Kila kesi ya kiserkali itakuwa mtu ni Out. Click to expand... Sasa jikite kuwazia baada ya kazi hii kutimizwa, hali itakavyokuwa baada ya hapo! Hilo ndilo linaloweza kukutia hofu kubwa zaidi kuliko zoezi hili.
Memento JF-Expert Member Joined Jun 13, 2021 Posts 4,423 Reaction score 9,986 Jun 18, 2021 #45 Hakutakuwa na shida huko mbeleni?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 18, 2021 #46 Kwa Uchina, mashtaka waliyokuwa wakikabiliwa nayo hadi sasa wangeshakuwa marehemu... Huwa hawacheleweshi kesi wale jamaa, haswa hizi zenye hukumu ya kunyongwa au mvua ya maisha...
Kwa Uchina, mashtaka waliyokuwa wakikabiliwa nayo hadi sasa wangeshakuwa marehemu... Huwa hawacheleweshi kesi wale jamaa, haswa hizi zenye hukumu ya kunyongwa au mvua ya maisha...