Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi hawa ccm mbona wana mashaka sana na uchaguzi unaokuja?

Au wameshagundua kuwa wana madhaifu mengi kiasi hata wizi wao wa kura safari hii hautafaa?
 
Hapiti na akilazimisha niko pale natembea uchi , nilisema kwa mwenda zake na nasema kama anitumavyo ,

Akishida kwa kura halali , aisee sina shida ila kwa kuiba kura Atajua mungu sio mwanadam, anzia yeye na washirika hata mda wa kutubu hawatakua nao asema Bwana na tunza hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…