Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Waganga watakua bize sana. Wengine washafanyiwa booking.Hata hayo pia ni maendeleo. Sema tu inategemea na vipaumbele.
Ila, aisee, watu watarogana hadi basi. Yetu macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waganga watakua bize sana. Wengine washafanyiwa booking.Hata hayo pia ni maendeleo. Sema tu inategemea na vipaumbele.
Ila, aisee, watu watarogana hadi basi. Yetu macho
Mbona Kila uchaguzi Huwa wanaleta magari na vyombo vinginevyo vya kampeni?Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Nikajua maneno ya mtandaoni tu.Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
This time nitakula hela za wasaka uongozi. Siwezi kumtafuta mwana awe mganga mimi nikawa dalali.Waganga watakua bize sana. Wengine washafanyiwa booking.
Hija ipi hapo zaidi ya niliyoijibu, au una hoja mfu nyengine?Jibu Hoja.
Mama "Uza Uza" Fedha katoa wapi?!Hija ipi hapo zaidi ya niliyoijibu, au una hoja mfu nyengine?
Lini uchaguzi uliwahi kuwa ni wa haki?Lini mliwahi kusema uchaguzi n wa haki
Acheni kushiriki sasaLini uchaguzi uliwahi kuwa ni wa haki?
Siyo sisi tu hata wewe pengine kama ni mfuasi wa hko chama kwa sababu kura hazina significant effect ya kumuweka kiongozi madarakani haijalishi kashinda au kapoteza uchaguzi lazima tu atakuwa Rais....hvo basi haina haja ya kwenda kupiga kura regardless we ni mpizani ama chama tawala.Acheni kushiriki sasa
Sijawahi kupiga kuraSiyo sisi tu hata wewe pengine kama ni mfuasi wa hko chama kwa sababu kura hazina significant effect ya kumuweka kiongozi madarakani haijalishi kashinda au kapoteza uchaguzi lazima tu atakuwa Rais....hvo basi haina haja ya kwenda kupiga kura regardless we ni mpizani ama chama tawala.
Ahahahhaha hapo tuko pamoja mwananguSijawahi kupiga kura
Kama ni hvo unajitambua na kila kitu ukifanyacho utakuwa unatumia logic na reasoning siyo kupigiwa kelele za eti kura ni haki yako🤣Sijawahi kupiga kura
Serikali ingekua inawafunga nyie mnaotupa misinformation ingekua poa xnaa ..maana mmezid ujingaMaandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Nilijiandikisha ili kitambulisho kinisaidie kwenye mambo ya utambuzi wangu binafsi sehemu mbalimbali ila khs kupiga kura au kujihusisha na chama cha siasa chcht sijawahi kufanya huo upuuziAhahahhaha hapo tuko pamoja mwanangu
Kama ni hvo unajitambua na kila kitu ukifanyacho utakuwa unatumia logic na reasoning siyo kupigiwa kelele za eti kura ni haki yako🤣
🤣🤣🤣Nilijiandikisha ili kitambulisho kinisaidie kwenye mambo ya utambuzi wangu binafsi sehemu mbalimbali ila khs kupiga kura au kujihusisha na chama cha siasa chcht sijawahi kufanya huo upuuzi
Kweli ni mke wa bashite! kumbe ndiyo maana zero brain hivi Haya kuja huku madam MwashambwaMwashambwa AKA mke wa bashite kuja utoe neno maana boda boda huku wanabubujikwa na machozi ya geresha.
🎯 🎯 🎯 👊Atumie helicopter uone kama uchaguzi hautasogezwa mbele,chama kukosa mgombea