Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata hayo pia ni maendeleo. Sema tu inategemea na vipaumbele.

Ila, aisee, watu watarogana hadi basi. Yetu macho
Waganga watakua bize sana. Wengine washafanyiwa booking.
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277

Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Mbona Kila uchaguzi Huwa wanaleta magari na vyombo vinginevyo vya kampeni?

Machadema Huwa yanaleta chopa mbona hakuna ambae Huwa anauliza?
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277

Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Nikajua maneno ya mtandaoni tu.

Yule alituahidi noah hazikuja, huyu yeye ameleta boda boda. 😃
 
Acheni kushiriki sasa
Siyo sisi tu hata wewe pengine kama ni mfuasi wa hko chama kwa sababu kura hazina significant effect ya kumuweka kiongozi madarakani haijalishi kashinda au kapoteza uchaguzi lazima tu atakuwa Rais....hvo basi haina haja ya kwenda kupiga kura regardless we ni mpizani ama chama tawala.
 
Sijawahi kupiga kura
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277

Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Serikali ingekua inawafunga nyie mnaotupa misinformation ingekua poa xnaa ..maana mmezid ujinga
 
Ahahahhaha hapo tuko pamoja mwanangu

Kama ni hvo unajitambua na kila kitu ukifanyacho utakuwa unatumia logic na reasoning siyo kupigiwa kelele za eti kura ni haki yako🤣
Nilijiandikisha ili kitambulisho kinisaidie kwenye mambo ya utambuzi wangu binafsi sehemu mbalimbali ila khs kupiga kura au kujihusisha na chama cha siasa chcht sijawahi kufanya huo upuuzi
 
Sikutegemea huyu mama awe hivi. Inasikitisha sana sana. Na watu wa kulinda nchi wako wapi? Hao tunaokaa hapa kuwasifikia kila kukicha - TISS- wako wapi hawa?! Haya yote yanaendelea wao wako wapi! Mara mtoto wake anaongoza serikali, mara tabia zisizo na maadili! Wapo kimya tu!!! Au taasisi zote zimefail tunategemewa wananchi?
 
18,000 x 2,500,000 = 45,000,000,000 WTF!!
 
Back
Top Bottom