Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini

Nilimpiga chini huyo dem nikaendelea na mishe zangu ingawa niliumia sana ila nikapiga moyo konde.

Ila nilijawa sana na kisasi
Pole sana asee!
 

Hao ndio wanawake bwana...full kutegana. Hatari mzee kamwe usidhani upo weye peke kwenye papuchi. Wee gegeda enjoy basi tafuta pisi nyingine uburudike nayo
 
pole kaka
 
Leo under 28 hawafai tena?.makubwa!
 
Kuna hyo jamaa yeye na mke ni weusi mtelezo,lkn cha ajabu wamezaa mtoto mweupe alafu bonge la handsome..Huyo jamaa ukimwangalia utajua tuu anaumia moyoni.lkn wanasonga.poleni sana wakuu mnaoumizwa.
 
Haya mambo yasikie kwa jirani tu kwa kweli...
Yanaumiza sana kuliko kawaida na usiombe yakukute. Na kinachouma zaidi ni pale unapojaribu kusahau lakini inashindikana. Unakumbuka zile good moments zote,unakumbuka visenti vyako ulivyotumia ili bibie afurahi....
Moyo unauma, unajawa na visasi,lakini unaamua kuvumilia labda ipo siku yatakwisha na kusahau.

Wanawake wanaumiza sana,sio wa kupenda mazima. Tupende kiasi ikibidi.
 
Pole Sana miaka 4 una gharimika
 
Pole Sana mtoto alizaliwa na miezi 6.5 toka umkune mama yake, na hakuwa njiti.

Mungu akufukishe mbinguni una moyo wa huruma
 
Mpenzi wako kachezea ukuni Hadi kanasa mimba, haitoshi alitaka kukubambikiza mtoto.

Sasa, ushauri wangu achana nae mrudie Mungu kwa kufanya ibada atakupa faraja ya kweli na utampata mwingine.

Huyo achana nae...Kama huna kifua cha kiume Kuna siku utamjeruhi na kuishia gerezani
 
Ngumu kumeza hiyo.
Ongera kwa kuujua ukweli mapema. Huna hatia na hutalaumiwa kwani ww si muhusika. Hiyo pia rihastle ktk mahusiano hivyo sahau na chagua binti mwingine aliye sahihi kwako.
 
Mkuu acha umalaya, OA!! Ulipomwingilia binti wa watu ukiyaamsha mapenzi. Sasa unashangaa nini kufanywa na wengine? Hata hui ushauri wako kwa vijana eti watumie kondomu ni dalili kwamba huna maadili kabisa. Ni kizazi kinachovuruga mabinti kwa kisingizio cha "nitamuoa."

Pia hai wazazi wake hawana ufahamu wa malezi kabisa, iweje wamtoe binti yao kwa mhuni tu wa mtaani ageuzwe kahaba? Ujinga wa hali ya juu sana, wazazi wa kidijitali. Tubadilike wakuu, uasherati ni ishara ya malezi ya hovyo na matusi kwa walezi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…