Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini

Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini

Mmh never trust kiumbe kinacho itwa Mwanamke,, tuliambiwa tuishi nao kwa akili

Wengi hawajielewi!

Alafu usiendekeze mawazo yke potezea utamsahau tu,, keep busy kutafuta mkwanja..
Msilaumu sana Wanawake Mbona nyie mmeoa na mnadanganya hamjaoa ili mpate penzi na kuwapa mimba juu michepuko huku mkiwa na ndoa zenu.
 
hiyo condom imenisaidia kujua ukweli na kautamka mwenyewe, maana tungekuwa kwenye ndoa ndio ingekuwa hatari zaidi, kutumia condom sio uhuni na ningekuwa muhuni basi ningeshamwacha mda mrefu sana,
Acha kuharibu binti za watu, be yourself. Usiishi maisha ya ujanja ujanja mkuu. Dunga ndoa
 
Msilaumu sana Wanawake Mbona nyie mmeoa na mnadanganya hamjaoa ili mpate penzi na kuwapa mimba juu michepuko huku mkiwa na ndoa zenu.
Usijitoe uufahamu wewe. Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume na sio mwanaume kwa ajili ya mwanamke nenda kasome maandiko matakatifu.
Sihalalishi uzinzi kwa wanaume nachotaka jamii iishi kwa misingi ya utaua. Mwanamke umeshachumbiwa basi tulia kuwa huru kwa mwanamme wako usiwe na siri mbona siku tumbo la period likikushika unaniambia bila hata kukuuliza iweje upatwe na jambo ufanye siri. Mwanamke anaweza shindana na mwanauume akamshinda lakini sio kushindana na ulimwengu. Umepigwa umepewa mimba ni kweli utamdanganya mumeo lakin huwezi udanganya ulimwengu. Dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Nipe tafsiri ya neno KUOA....
Nipe tafsiri ya neno NDOA.
Nipe tofauti ya kuoa, ndoa na harusi naona kama unataka changanya vitu.

Je adam na hawa pale bustani ile ilikuwa ni nini NDOA au HARUSI.....
Kuna jambo naona unataka kulihalalisha hapa kwamba nikiwa na mahusiano na mwanamke fulani basi ni kwamba milango ipo wazi aje agegedwe sio???

Nikiulize tena ipi tofauti ya wanadam na wanyama kwenye suala la mahusiano?
Nadhani umenielewa vema, hato maswali yako hayana mashiko. Mapenzi nje ya ndoa ni umalaya, pia mwanamke ayatendaye hayo ni mjinga kweli kweli kea sababu aimaliza thamani yake taratibu.

Mwanamume mwenye nia njema na mwanamke humlinda dhidi ya ngono mpaka majira yake yanapofika. Vinginevyo ni kumchezea kwa kujaribu kukidhi kiu ya ngono isiyoisha.
 
Mmh never trust kiumbe kinacho itwa Mwanamke,, tuliambiwa tuishi nao kwa akili

Wengi hawajielewi!

Alafu usiendekeze mawazo yke potezea utamsahau tu,, keep busy kutafuta mkwanja..
Mwanamume mzinifu pia hajitambua, tena ni mjinga kweli kweli
 
Nadhani umenielewa vema, hato maswali yako hayana mashiko. Mapenzi nje ya ndoa ni umalaya, pia mwanamke ayatendaye hayo ni mjinga kweli kweli kea sababu aimaliza thamani yake taratibu.

Mwanamume mwenye nia njema na mwanamke humlinda dhidi ya ngono mpaka majira yake yanapofika. Vinginevyo ni kumchezea kwa kujaribu kukidhi kiu ya ngono isiyoisha.
Kwa hiyo wewe umeona umuhukumu mleta uzi huu ambaye mwanamme kwa kufanya uzunifu na huyo mwanamke. Ila umehalalisha mwanamke akafanye ngono na mwanaume ambae ni mwingine ili aje amsingizie jamaa etu sio.

Tatizo lako unajibu maswali niliokuukiza kidini sana. Huijui dini ya huyo bi dada au huyo mleta uzi ana dini gani anaamini katika dini au ni mpagani.
Ndo maana nikakuuliza ndoa ni nini?
Tunaposema mtu fulani amaeoa tuna maana gani?
Nikitegemea ujibu maswali haya kwa tafsiri ya kisheria wewe unakuja na dini unaifahamu. Au ulitaka uyajibu kwa sheria ya ndoa ya MALAWI. Sheria nazo zijua TANZANIA huyu jamaa yupo sahihi. Na anatupa changamoto mimi na wewe namna ya kukabiliana na hali kama hii. Vijana wengi tunamalizwa na baadae kupata sonona kwa vitu kama hivi. Mahusiano ya sasa kufanya ngono imekuwa kawaida na ni jambo wachache wanaliepuka hadi muda ufike.
Ujue kwenye mapenzi mwanaume anagharimika vitu vingi kwa staili ya maisha tunayoishi sisi watz sasa suala la kupigiwa nje linaongeza maumivu ya mwili na akili. Kwa kweli mleta uzi ametumia njia nzuri sana ya kidiplomasia kufikia maamuzi yake. Naamin wamemalizana kwa amani.
 
Habari zenu wakuu, Jf ni sehem nayoiheshimu na imejaa watu wazima wenye hekima na wanaojitambua natumaini mtanipa ushauri mzuri na wenye hekima.

Nipo kwenye mahusiano na binti 24 years old, Tumekuwa na mahusiano kwa mda wa miaka miwili na mda wote nilikuwa nikijitahidi sana kumlinda na mimba sababu yupo kwao mipango yetu ilikuwa ni kuzalia kwenye ndoa hivyo mda wote tuliokuwa tunakutana nilizingatia sana kinga ili kumlinda na mimba.

Sasa shida imekuja tokea miezi miwili iliyopita alikuwa kabadilika sana yani hata kukutana na mimi ni hadi aamue kwa kujiskia yeye tofauti na zamani, akija kwangu simu ataiacha kwao sababu hatuishi mbali na simu nilimnunulia mimi, hadi nikajiuliza simu imeficha nini lakini niliendelea kuwa mvumilivu.

Mara ya mwisho nikakutana nae kimwili siku moja baada ya kumaliza period na siku ya 27 ya mzunguko wa hedhi ndio ikawa mara ya mwisho kusex nae na mara zote nilitumia condom kwa usahihi na wala haikupasuka wala kupata damage yoyote,na hata mda wa kusex alikuwa yupo yupo tu yani najihisi nipo peke yangu kitandani.

Sasa baada ya kupita siku karibia 36 bila kuona siku zake, ikabidi nimuulize vipi kuna tatizo, akawa kakaa kimya tu anasema hajielewi labda ni mabadiliko tu, kwa vile nilishaona ile sio hali ya kawaida na haijawahi kutokea ikanibidi niende pharmacy nikanunua Baby check, kwa ajili ya kupima mkojo wake ili nijue kama ana ujauzito

Jioni nikampa nikamuekekeza acheki mkojo wa asubuhi akiamka, ilpofika asubuhi akachek na matokeo yakawa ni haya [emoji116], akanitumia hiyo picha whatsap

View attachment 1500024

Alama mbili zikatiki kuwa ni mjamzito, ikanibidi nionane nae jioni ile tujadiliane na maswali nliyokuwa nayo kichwani inawezekana vipi mtu usex kwa kutumia condom kwa usahihi na tena kwenye siku ambazo sio za kushika mimba na mtu apate mimba?

Nilivyoonana nae ikanibidi nimbane kisawa sawa kwa tecknic nazozijua mimi ili aseme ukweli kama aliteleza, baada ya kumbana huku akilia kuwa mimba ni yangu nikamwambia pia kama bado utaniaminisha mimba ni yangu mimi sina tatizo mtoto akizaliwa tutaenda kucheki DNA, kuthibitisha kuwa ni wangu ili nilee damu yangu, Akasema hataki kuzaa hivyo tuitoe, mimi nikasimamia msimamo wangu kuwa damu yetu haipotei kama mimba ni yangu ajiamini kwanini aogope hadi atake kuitoa na uwezo wa kulea upo.

Ikabidi aongee ukweli kuwa alinisaliti na mtu mwenyewe aliyechepuka nae haijui hata background yake hata kazi anazofanya hazijui, niliishiwa nguvu pale nilipo mwambia alete simu yake ampigie huyo jamaa kuwa ana mimba yake

Baada ya kumpigia jamaa akakubali na kusema hana tatizo , nilibaki na mshangao na machozi yalinitoka, na kama isingekuwa kutumia condom basi ile mimba ilikuwa niikubali kwa mikono miwili na ukiangalia kwetu kutoa mimba ni haram na kosa kubwa wakati uwezo wa kulea upo

Pale ndipo nilipoamini kuwa wanawake ni watu wakuishi nao kwa akili sana, kukuletea mtoto asie wako hawaoni kazi, naamini kuna watu wengi mnalea watoto ambao sio wenu, mimi nimeponyea kwenye tundu la sindano

nichukue fursa hii kuwashauri vijana ambao hamko kwenye ndoa acheni kuruka na wanawake kavu kavu, hasa hawa mabinti under 28, hawafai hata kidogo ni wachache sana wametulia ila wengi ni mafia, kukuleta mimba isiyo yako huwa hawaoni tabu

Ni heri mtumie condom tu ili kuepukana na huu mchezo tunaochezewa wanaume, ifike mahali tuseme basi kulea watoto ambao sio wetu tumechoka

Vile vile tokea hili tukio litokee nipo katika wakati mgumu sana, mawazo hayaniishi sababu kutendewa unyama kama huu na mtu niliyempenda inaumiza sana, na huyu mwanamke kila kukicha ananiomba msamaha akilia, hivi nawezaje kusamehe usaliti kama huu? ndio maana kwenye heding nikaomba ushauri wenu namna ya kuanza maisha mapya yenye amani nimechanganyikiwa kwa kweli
Dah mm ishanitokea hiyo mkuu. kawaida. Tafuta pesa wanawake wapo
 
nimepotezea tu siwezi kumpima mtoto sababu nikimkataa mtoto na mke wangu akagoma kumtaja mhusika mtoto atakosa baba na hakuna binadamu anaweza kuishi vizuri bila baba. nimemuacha huyo mke tu kiaina bila kumwambia niko na wengine nimekata huduma apambane na dunia.

tumekubaliana na mtalaka katika maisha yake asijetena kumtaja mhusika atamharibu mtoto ambae sasa anajua mimi ni baba yake
👇👇👇👇👇👇

Capture.PNG

👇👇👇👇👇👇
Capturez.PNG
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    9.3 KB · Views: 6
  • Capturez.PNG
    Capturez.PNG
    19.4 KB · Views: 6
Hahaha mkuu una tembea na vitoto visivyo jitambua

Yaani mwanamke anajua kabisa kuwa Mara ya mwisho mlitumia condom na alichepuka then ana kubali kupima mbele yako ... Duuhh
 
Pole sana mkuu, yalishanikuta nikalea kwa taabu sana hali haikuwa nzuri kipindi hicho, mtoto mpaka kafika miaka minne nkagundua si wangu kutokana na mambo fulani niliyohisi na binti akakubali kweli mtoto si wangu.

Niliumia sana lakini hakukuwa na jinsi, muhimu endelea na maisha yako muhimu umejifunza. Wanawake muda fulani si wa kuwaamini sana 100% .
Aisee !!!!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Aya mamb bana daaah acha tu me Kuna manzeee ili nambia in mimba asaa siku nimepanga tukapime tujue ya mda gani (mimba in mda gani) akala Kona kwakua aljua kesho yake na safiri af baada ya kusafiri anantafuta eti alishaenda clinic kafungua na kadi kilichomfanya akimbie akutaka kuwahi mapema clinic sema nakumbua tareh ya mwisho kulala nae vp naweza nikaitumia Kama kuhesabu mpaka siku anajifungua
[/QUOTE
Ndio unaweza tumia hiyo njia ila is not sure probable kwasababu kuna siku mlikutana nae kabla ya hiyo siku pengine labda siku izo mlizokutana nae kabla ya hiyo alishika mimba. Jenga utulivu katika kumchukua maelezo kama muongo utamkamata tuu.
 
Back
Top Bottom