Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini

Baada ya kugundua ana mimba isiyo yangu, nipo katika wakati mgumu sana. Nishaurini

Sio "yanaweza kuwakuta" yamewakuta wengi sana, wengi hawajui kuwa wanalea watoto wa wanaume wenzao.

Mbaya zaidi wake wao wanajua ila wanawacheck tu kwa dharau huku wakiwakamua kwa kuwalea watoto wa vidume wengine
Hii Inachoma Kama Pasi, Yaani Ni Shida Hizi Ndoa
 
Mimi silaha yangu ni DNA! Hata kama sikutumia sijui nini.
Bora uniambie mapemaaa sio amezaliwa mtoto nimelealea halafu niamue kwenda kupima nikute vitu havimatch hata makundi ya damu hatuendani!!!!
We nae tangu lini kundi la damu la baba na la mtoto lina fanana?
 
We nae tangu lini kundi la damu la baba na la mtoto lina fanana?
Hiyo kufanana umesema wewe.Mimi nimesema kuendana kibaiologia.Sasa unakuta mzazi nina group A homozygous(AA) au nina AB halafu mtoto ana blood group O,kaitolea wapi?
 
Wanawake kuingia ktk ufalme wa MUNGU ni ngumu sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano
 
Mwanamke ni mtihani alioandikiwa mwanaume! Ukishinda hila zake umefaulu.
 
Mmmmh poleeeeh sana, Jah awe nawe zaidi, kuwa mpole na ujue still life goez on.
 
Hapana asee mtoto nitalea, hana kosa so long as, kisheria ni wa kwangu, adhabu ni kwa mama yake.
Adhabu ni kwa mama yake lakini mateso unaanza kuyapata wewe hasa unapoishi mtaan wakiijua siri kwamba ulichapia na mtoto ndo huyuuuuu. Yaan wanawake kile kikao na shetani walifanya maamuzi mengi na yakaanza utekelezaji pale pale.
 
Back
Top Bottom