Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu. Ila wakisema tuma kwenye acc hii toka nduki usiangalie hata nyuma.
Kapige kazi mkuu.Shukrani. Najua kuna matapeli ila this is real. Nimeconfirm maana kuna baadhi ya watu wanafanya kazi huko nawafahamu na wameconfirm kuwa huyu jamaa ni mwenzao. Google hilo jina mwenye utaona linkedin/twitter
Hongera sana mkuu,ukienda huko kapige debe tanzania waweze kupata acces ya kuingiza hela kupitia video za faceboom kiurahisi...mana watu wanapiga views balaa.
Huwa wana-search LinkedIn kutafuta engineers. Unaweza kuapply ila mara nyingi wanakutumia email wao. Au kama kuna mtu wa ndani akupe shavu la recommendation.Hongera sana mkuu, ni process zipi umetumia kupata hiyo position/ uliapply??
Wanatumia xyz@ fb.com au xyz@Facebook.com
Ooh ok..! So kazi utakuwa unafanya remotely au utaenda stste huko physically??Huwa wana-search LinkedIn kutafuta engineers. Unaweza kuapply ila mara nyingi wanakutumia email wao. Au kama kuna mtu wa ndani akupe shavu la recommendation.
Utapeli huuNilianzia kujifunza programming mwenyewe hapo dar. Nikapiga kazi online kwa miaka kadhaa (soma baadhi ya posts zangu). Leo asubuhi nimepata hii email.
View attachment 1909289
Kwamba fb hawawezi kumuajiri?Utapeli huu
Nilianzia kujifunza programming mwenyewe hapo dar. Nikapiga kazi online kwa miaka kadhaa (soma baadhi ya posts zangu). Leo asubuhi nimepata hii email.
View attachment 1909289