GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kijana wa Freeman Mbowe pamoja na Yerrico Nyerere watimkia CHAUMMA hii Leo.

Inasemakana Mzee mwenyewe yupo njiani na ndiye atagombea urais kupitia CHAUMMA

Waliokuwa makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe na Yeriko Nyerere, wametangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma).

Makada hao wawili wametangaza uamuzi huo leo Jumatano Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mlinzi wa Freeman Mbowe aonekana kwenye Mkutano wa CHAUMMA unaopokea viongozi wa G55

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…