Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Kwani Yericko no mchaga? Acha uduanzi jamviniChaga group na pesa ni kitu moja tu
Kwani Yericko no mchaga? Acha uduanzi jamviniChaga group na pesa ni kitu moja tu
Lisu na Hecho wametibua maji kenge na fisi maji wanatoka mmoja mmoja.Bado kubwa laoView attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Habibu yupo?Itoshe tu kusema, Mbowe ni tapeli namba moja nchi hii na alifanikiwa kututeka tulio wengi.
I'm ashamed kumuamini na hata kumpigania.
Mkuu huyu ''Deo Kisandu'' aliyechangamka naye unamposti? Yeriko anajipa mpaka tuzo feki za uandishi wa vitabu huyu... Sijawahi kuamini kama ana akili timamu huyu jamaa...View attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Siyo usaliti ni haki yao ya kikatiba, haiwezekani kila mtu ulazimishe aungane na mawazo yako huo ni zaidi ya udiktetaView attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Mliambiwa mbowe ameigeuza chadema kama saccos yake, mkawa mnabisha.Itoshe tu kusema, Mbowe ni tapeli namba moja nchi hii na alifanikiwa kututeka tulio wengi.
I'm ashamed kumuamini na hata kumpigania.
Mara ngapi watu walikua wakisema kuwa mbowe anafanya biashara ya siasa?Sikuwai kuamini story za JF Mbowe anaweza saliti CDM hivi mpaka leo.
Ina maana huko CHAUMA kwa sasa wanamsubiri kubwa la maadui mwenyewe FAM.
Hatari sana
Walikuwa wamepewa kiburi na Samia. Ila katika matukio ambayo yatazibadilisha siasa za Tanzania kabisa na kuchora ukurasa mpya ni hili la Mbowe kushindwa. Usalama wa taifa walikuwa nyuma yake, vyombo vyote vya habari na waandishi wao uchwara kama kina Balile walikuwa wanam-support. Fedha na polisi alipewa. Akajiamini na kujiona ni lazima ashinde, eti Mbowe hajawahi kushindwa..... Nyodo.......Nimecheka kwa nguvu, nikikumbuka Yericko alivyokuwa anaongea kwa kejeli kipindi cha uchaguzi wa cdm, alikuwa anasema ukishindwa hakuna kuhama chama, leo yako wapi?
Yericko Nyerere
Mambo ndio yako hivyo toka Mlema huko hadi leo kwa Mbowe.Itoshe tu kusema, Mbowe ni tapeli namba moja nchi hii na alifanikiwa kututeka tulio wengi.
I'm ashamed kumuamini na hata kumpigania.
Ahsante kwa taarifa
Nalog off
Pamoja na hao wote kuwa nyuma yake,lakini mbowe alishindwa.Walikuwa wamepewa kiburi na Samia. Ila katika matukio ambayo yatazibadilisha siasa za Tanzania kabisa na kuchora ukurasa mpya ni hili la Mbowe kushindwa. Usalama wa taifa walikuwa nyuma yake, vyombo vyote vya habari na waandishi wao uchwara kama kina Balile walikuwa wanam-support. Fedha na polisi alipewa. Akajiamini na kujiona ni lazima ashinde, eti Mbowe hajawahi kushindwa..... Nyodo.......
Tusiweke imani kwa watu, leo malaika kesho shetani ni kawaida tu.Sijaona mtu wa kufanana na Tundu Lissu. Kati ya wapinzani wote ambao wanamtakia mema nchi hii na wanaitaji nchi iongozwe kwa misingi ya Haki na demokrasia, uchumi imara na utawala Bora..
Huwezi kuhama chama katika hali hii ambayo Mwenyekiti kasingiziwa Uhaini, huu ni zaidi ya Ushetani, ni kweli kuhama ni haki yao lakini muda wao ndio umetuongoza kuwaita WasalitiSiyo usaliti ni haki yao ya kikatiba, haiwezekani kila mtu ulazimishe aungane na mawazo yako huo ni zaidi ya udikteta
Yericko njaa ilikuwa imemkamata haswa.mbali ya vitabu anapata riziki kwa uchawa kwa viongozi sasa chadema kukosa ruzuku ni pigo kubwa sana kwake.View attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Mkewe yericko ni mmaranguKwani Yericko no mchaga? Acha uduanzi jamvini
Nilidhani niko peke yangu, huyu jamaa Yeriko hayupo sawa kabisa kichwani.Mkuu huyu ''Deo Kisandu'' aliyechangamka naye unamposti? Yeriko anajipa mpaka tuzo feki za uandishi wa vitabu huyu... Sijawahi kuamini kama ana akili timamu huyu jamaa...