GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Inazidi kuthibitisha unyani wetu tu kila siku!

Black people cannot rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they will kill themselves. Give them power, they will steal all the government money. Give them independence and democracy, they will use it to promote tribalism, ethnicity, bigotry, hatred, killings and war". PW Botha (not proved if genuine).

AFRICA LEADERS HAVE NOT BEEN ABLE TO PROVE HIM WRONG!
 
Walikuwa na uhakika kuwa watamshinda na ndio maana waliona hilo swali halina mantiki upande wao
ila Mungu ni mwema sana. Bob Marley alisema, huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote.

wapiga dili wa siasa wameshajiumbua, mambo Iko hadharani sasa!

Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, na hasa Tanganyika.
 
Hapana kwa kweli mkuu...siku Lissu anahamia sjui chauma act ama ccm ndio itakua mwisho ..
Haiwezi kuwa mwisho mkuu yeye atabaki kuwa alifanya aliyoyafanya kama mchango wake, hata sasa kuna watu wanamuona Lissu anapigania wajinga na hawezi kufanikiwa anapoteza muda wake tu.

Mkuu usifikiri hao waliyohama vyama wote waliwahi kufikiri kufanya hivyo.
 
View attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe

Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Nini kinafanya baadhi ya watu wakihama chama kimoja kwenda kwingine lazima wafanye matangazo ?
Ni kwamba wao ni special sana ? Kwa mfano Nikiangalia huyo Yericko mhehe na huyo kijana wa ukoo wa Mbowe sioni kama wana u special wowote.
 
Mbowe UMEDANGANYA WATU WENGI SANA
WENGINE wameuwawa, wengine wamekua VILEMA wa kudumu ukizusha wewe ni Tajiri una mali nje na ndani ya nchi!!! kumbe dalali tu huna lolote!! eeh Mungu chukua hatua stahiki kwa hili tapeli lililoumiza watu hapa . HALIKUWAHI kuwa Upinzani hili jamaa. Imagine tapeli anakua Mpinzani!! aibu kubwa kizazi chako chote ni laana . Damu za waliouwawa ukiwachuuza wakidhani uko nao Mungu hatakuachia bure.
 
Sema akina Rostam wanahela nyingi sana imagine wanavyohangaika na kumpa Mbowe apambanie Urais wa Samia
 
Shahidi No Moja kwenye ile Kesi Atahama lini??
 
Sema jamani some how namuelewa mbowe, kupambania mijitu isotaka kujipambania inachosha saaaana.
Mtu anataka atype social media na kusema tunamuachia Mungu, huku ww biashara zako zinaandamwa, uhai wako na familia yako unakua mashakani inachoshaa. Hata huyo lisu atatuchoka tu!, acheni alambe asali mzee wa watu simlaumu nawalaumu wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom