Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Lioneni hili bwege, chadema imeshakosa sifa ya kuwa chama cha siasa kinafutwa very soonweHongera sana Mh. Tundu Lissu na kamanda mwenzako John Heche kwa kufanikiwa kuwaondoa wachimia tumbo wote ndani ya chama kupitia njia ngumu na ambayo wengi wao hawakuitarajia.
Naamini wahuni wakikubali kushindwa baada ya kukushikilia kwa hila, utarudi mtaani kupambana nao tena mpaka wakubali kuachia madaraka. Natambua wewe ni mpambanaji, na hujawahi kushindwa kwenye mapambano ya kupigania haki.
We ngedere unaelewa ht maana ya umafia?Hii nchi watu wapole Sana Hawa watu waliotuuza kwa muda mrefu walitakiwa kufanyiwa umafia mkubwa sana