GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama mtoto wa mbowe tuu yupo chauma, vp kwa Mzazi 😂 ni suala la muda tuu
 
Matajiri wanaondoka CDM ,umebaki WEWE Erythrocyte
JamiiForums195514995_540x540.jpeg
 
Halafu kuna watu walipoteza maisha chini ya Mbowe. Wengine wakawa Wangwelized. Kapotea katibu wake binafsi Ben Saa Nane Mbowe wala hakujali. Wengine mpaka leo mabega hayafanyi kazi kutokana na kuzungusha mikono kwa nguvu wakiitikia zile salamu za "piiiiiipoziiiiii!"

Shameful!
 
Mbowe namkubali sana yule ni kiongozi haswa yeye huamini kile anachoona yeye kinafaa huwa hana mihemko

Ukimualika uwe CCM au CHAUMA yeye atakuja kama imani yake inamtuma hivyo

Haangalii wafuasi wake watasema nini au ku react vipi

Uongozi ni imani
Tapeli tu
 
Back
Top Bottom