Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #141
Kwenda wapi?Bado ww tu
Kwenda wapi?Bado ww tu
🤣🤣🤣ila Lissu ni habari nyingine. ninakumbuka aliulizwa swali na mwandishi wa habari kipindi kile cha kugombea uenyekiti wa chama: "ukishindwa uchaguzi, utakihama chama"? akawajibu: "nimeshawajibu sana swali hili. Naombeni pia muwaulize na upande wa pili. wao mbona hamuwaulizi?"
Tulipokuwa tunapiga mayowe kuwa mlikuwa mnapoteza muda mlitutukana sana,kwa demage aliyofanya huyu mzee mbowe hamtakaa weza nyanyuka hata kidogo.Poleni sana.Mbowe UMEDANGANYA WATU WENGI SANA
WENGINE wameuwawa, wengine wamekua VILEMA wa kudumu ukizusha wewe ni Tajiri una mali nje na ndani ya nchi!!! kumbe dalali tu huna lolote!! eeh Mungu chukua hatua stahiki kwa hili tapeli lililoumiza watu hapa . HALIKUWAHI kuwa Upinzani hili jamaa. Imagine tapeli anakua Mpinzani!! aibu kubwa kizazi chako chote ni laana . Damu za waliouwawa ukiwachuuza wakidhani uko nao Mungu hatakuachia bure.
Alikuwa anajifanya mpigania demokrasia wa kweli, mfia chama, kashindwa uchaguzi kihaki, badala ya kutoa ushirikiano wa kweli kwenye chama akashawishi magenge yake yakivuruge chama chake...Imetuchukua miaka 10 kumuelewa Freeman 🙌🏾🙌🏾
Yericko nilikua namkubaligi sana, nilihisigi jamaa ni ana akili sana ila nilikuja gundua wa kawaida mno.😂😂😂
Jasusi la mchongo
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Hawataki kuangalia camera una uhakika?Hawataki kuiangalia camera. Bado mmoja.
Ndio maana Mac cm huwa yanasema ukishinda upinzani itatokea vita, 🙌🏾Alikuwa anajifanya mpigania demokrasia wa kweli, mfia chama, kashindwa uchaguzi kihaki, badala ya kutoa ushirikiano wa kweli kwenye chama akashawishi magenge yake yakivuruge chama chake...