GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe

Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
We na wenzako mna siasa za kitoto za kishamba, sasa mibwege km nyie kwl mshinde uchaguzi? Kwa akili hizo? Unaweza kumlazimisha mtu kuamini asichoamini? We jinga hujui ht maana ya siasa, halafu huna ht na ujinga wako huo unashinda na kukesha humu.
 
Kweli kabisa, walikuwa wanajifanya wazalendo kumbe njaa tu. Wameponza watu wengine mpaka wakapoteza maisha yao kumbe hawakuwa real.
Ben saa nane ambae alikua msaidizi wa karibu na mbowe alipotezwa na kuuwawa, lakini mbowe hajawahi hata kulalamika sana kuhusu Hilo, mwaka mmoja mbele akaenda mwanza kumuomba maridhiani magufuli.

Unaenda kuomba maridhiano huku msaidizi wako wa karibu kauwawa? Mbowe ni tapeli
 
Kesho kubwa la maadui Freeman Mbowe ndiyo anapokelewa na kupewa bendera kuipeperusha kiti cha Urais.
😂😂 Ni kama Mpina kawaharibia mahesabu CHAUMA. Tunawasubiri Sugu, Bonyai na Mbowe mwenyewe kuhamia huko hivi karibuni. Kwa bahati mbaya Chauma imekosa mvuto, hivyo shughuli wanayo.
 
s
Alisubiri kuhakikishiwa chochote
siku moja nikiwa kwenye mihangaiko yangu KIGAMBONI nilikuwa nimekaa sehemu nakula. Hii ni baada ya uchaguzi mkuu CHADEMA. Ghafla akapita mzee mmoja amevee nguo za chademe. nikasalimiana naye akajitambulisha nami nikajitambulisha na ninapokaa. tukawa tunaongea mambo ya CHADEMA yule mtu alikuwa mtu mzima na sikutegemea unafiki wowote toka kwake,
aliyoniaambia ni kwamba yeye aliitwa na MBOWE Nyumbani kwake afike kabla ya lunch time hii ni kabla ya uchaguzi. mzee aliitika wito kesho yake na aliwakuta hawa vijana wote nyumbani kwa mbowe akiwemo BONIFACEJACKOBO. Mzee alikaribishwa kwa kuwa anajulikana pale. alipewa na chakula nk.
walienda kwenye mazungumzo na MBOWE Freeman. yule mzee alitakiwa amshauri mbowe kwamba agombee au lah, alimwambia wewe na LISU mnauzito sawa so uchaguzi utakuwa mgumu na wala usitegemee urahisi wowote
Mbowe alimwambia yule mzee namnukuu LISU NI MUHUNI, SIWEZI KUKIACHA CHAMA KWA MUHUNI, NATAKA NIMKOMESHE HANIWEZI YULE baada ya kushauriana kwa masaa kama mawili hivi na mbowe kuendelea na msimamo wake Mbowe alitoa kiasi cha pesa na kumpatia yule mzee, akatia mfukoni na kuondoka.
haya yote yanayoendelea ni kukamilisha mipango tu na MPANGAJI NI MBOWE FREEMAN
Kama kweli hali ipo hivyo mbona wanaohama ni watu wa FREEMAN TU???????? YERICO NYERERE ALISEMA MBOWE NI ALFA NA OMEGA. Hana chochote anachokisimamia zaidi ya kumtumikia MBOWE,
 
Kumbe Covid19 walikuwa wanalaumiwa bure, kwenye ulaji wanasiasa wako tayari kufanya lolote ili tu apate kushiba. Mimi nawaona hawa na COVID-19 hawana tofauti kabisa
Kabisa Mbowe nilianza kumtilia shaka alivyofutiwa kesi tu.
 
ila Lissu ni habari nyingine. ninakumbuka aliulizwa swali na mwandishi wa habari kipindi kile cha kugombea uenyekiti wa chama: "ukishindwa uchaguzi, utakihama chama"? akawajibu: "nimeshawajibu sana swali hili. Naombeni pia muwaulize na upande wa pili. wao mbona hamuwaulizi?"
Walikuwa na uhakika kuwa watamshinda na ndio maana waliona hilo swali halina mantiki upande wao
 
Kumbe Covid19 walikuwa wanalaumiwa bure, kwenye ulaji wanasiasa wako tayari kufanya lolote ili tu apate kushiba. Mimi nawaona hawa na COVID-19 hawana tofauti kabisa
Issue ya covid 19 watu waliambiwa hilo lilikua dili la mbowe na serikali, watu wakabisha.

Covid 19 wiki iliyopita wote walioenda ccm walipitishwa na kamati kuu kutia nia ubunge. Hapo bado watu walikua hawaelewi
 
Huyu james mbowe mbona kama alikua anatweet kibabe sana imekuaje hapo 🤣
 
ila Lissu ni habari nyingine. ninakumbuka aliulizwa swali na mwandishi wa habari kipindi kile cha kugombea uenyekiti wa chama: "ukishindwa uchaguzi, utakihama chama"? akawajibu: "nimeshawajibu sana swali hili. Naombeni pia muwaulize na upande wa pili. wao mbona hamuwaulizi?"
Mbowe aligoma kujibu 🤣
 
Hongera sana Mh. Tundu Lissu na kamanda mwenzako John Heche kwa kufanikiwa kuwaondoa wachimia tumbo wote ndani ya chama kupitia njia ngumu na ambayo wengi wao hawakuitarajia.

Naamini wahuni wakikubali kushindwa baada ya kukushikilia kwa hila, utarudi mtaani kupambana nao tena mpaka wakubali kuachia madaraka. Natambua wewe ni mpambanaji, na hujawahi kushindwa kwenye mapambano ya kupigania haki.
 
View attachment 3433643
Ameambatana na James Mbowe

Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Ngoja wachezee maisha ya watu..kwa kuwaadaa...Mungu anaenda kushusha hukumu kubwa sana kwao, kwa wale wasaliti wote...
Ni swala la muda tu!
 
Back
Top Bottom