Yericko Nyerere ni tapeli ni mtu wa ujanja ujanja tu hii utaiona kuanzia kwenye vitabu vyake.
Tangu timu yao wameshindwa ichaguzi uliokuwa live kabisa alisikia uchungu , Mbowe akajitoa kiaina halafu haka kajamaa tangu wale vibaka wa njaa 55 wajiunge CHAUMMA anarepost machapisho yao kule X hivyo kajificha hatimaye hana ujanja wamekula pesa ya Mchengerwa na Abdul sasa wanabidi wakaifanyie kazi kuhadaa watu.
Na hata sasa naanza kuamini kazi yake aliyokuwa anaifanya CHADEMA baada ya zile hints alizotoa Chahali.