Karne ya 21! Hii inasaidia nini?
Vipi mchango wao kwenye pato la Taifa?Nenda Arusha uone watu wanavyofsnya shughuri za kiuchumi.
Richa ya kuwa na madini Mengi,Kanda ya ziwa imejaa ujinga,na umaskini.
Unaweza ukaamini njia ya kwenda mgodini Kakola,kutokea Kahama,kuanzia njiapanda ya manzese,ni vumbi tupu.
Kahama Kuna mgodi wa buzwagi,nilitegemea Kahama iwe kama Arusha,lakini wapi!kumejaa magesti tu ya bei rahisi.
Kuanzia Tinde,kagongwa,isaka,ushirombo,mpaka nyakanazi,ardhi yote imejaa madini,wapo matajiri wachache,lakini watu wengi ni mafukara wakutupwa.
Wingi sio hoja,wanaoshika nchi hii ni wenye pesa wachache,maana wapiga kura wa nchi hii wanohongeka kwa kanga na vilemba ni wajinga na ndio wamejaa Kanda ya ziwa.
Nzega,Igunga,Kalumwa,Isakamaliwa Kuna nini zaidi ya ufukara mtupu,