Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

Wasukuma ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, sio kwa kanda ya ziwa tu.

Mikoa yote ya Kanda ya ziwa wasukuma wapo, Mara, Shinyanga, Tabora, Simiyu, Mwanza, Geita, pande za Kigoma na Katavi.
Na sisi wasukuma tuliopo Unguja na Pemba mbona unatutenga!.
 
Wewe kama ulidungwa mimba na msukuma alafu ukaachwa ukae utulie hivyohivyo.
 
huwa naona wanawake wanasema kuwa wanaume wa kisukuma wanajua kucare na kuwajali wanawake
Technically wanawake wajanja lazima watafute mwanaume wa kisukuma kwa sababu Hawa wanaume huwa wanakamatwa na wanatumikishwa kama magreda ,kiufupi wanawake ndio wenye maamuzi.
 
Wasukuma ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, sio kwa kanda ya ziwa tu.

Mikoa yote ya Kanda ya ziwa wasukuma wapo, Mara, Shinyanga, Tabora, Simiyu, Mwanza, Geita, pande za Kigoma na Katavi.
Mbeya wapo huko chunya tele wanafuga mang'ombe porini,mbarali, morogoro, ndanindani, Singida .
Wasukuma wameenea asilimia 80 ya mchi.
 
Ngoja yaamke ya mtu ya kaskazini ambayo yenyewe yamejaaga wivu tu, utatukanwa kama nini sijui
 
Acheni kuleta ukabila kwa mlango wa nyuma. Ongelea watanzania badala ya ukanda. Baada ya hapo mtaanza ujinsia, udini, na upuuzi mwingine.
Mtu katoa sifa ya eneo fulani,angetoa sifa ya watu wa eneo lako ungekaa kimya au ungesifia sana mada,itoshe kusema huna la maana
 
Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.
Pia ni waasisi wa kauli ya kufyatua watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…