Na Askari anapokuwa chini ya Taa zikiwa zinafanya kazi inamaanisha nini
Bandari kuwa bagamoyo ingepunguza stressMi mwenyewe nimepita sasa hivi.
Waliamua kujijengea wenyewe wakitoka airport wapite kiulaini.
Mi nadhani wangeteneza roundabout buguruni ili kuruhusu magari kutoka tazara yawe yanasogea haraka.
Kwa sasa traffic police wa tazara akiruhusu magari kuja buguruni, wa buguruni anakuwa ameyazuia yanayotoka tazara. Hawana mawasiliano. Kwa hiyo, pale kwa mfugale yatavuka magari machache tu na foleni ya buguruni inakuwa darajani tayari.
Roundabout buguruni ingesaidia sana kama pale ubungo.
Au hadi awepo mchina?
Anaongoza magariNa Askari anapokuwa chini ya Taa zikiwa zinafanya kazi inamaanisha nini
inawzekana kabisa! inaanzia buguruni matumbi all the way mpaka mbele ya tazara kule
Wale wenzangu na mm wakutia Lita 2,3 kwenye foleni ni pressure[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Askari anapokuwa chini ya Taa zikiwa zinafanya kazi inamaanisha nini
Foleni ya sehemu hii inachangizwa na vitu viwili kwanza malori yanayotoka bandarini ukiona umefika njia hii pita service road kuanzia pale sokota utapitia nyuma huku kwenye maduka ya hardware utokee karibu na TCC kisha ingia nyerere rd au pitia njia ya mchicha kutokea magorofani au kuna rough road pale njia ya wizara ya kilimo kisha ingia nyerere road pili uwepo wa traffic police tazara junction na buguruni sijui hawa jamaa wana watu wao wanawavusha kutoka town yaani upande huu wa bandari zikizidi sana ni dakika mbili kuvuta na kiukweli taa zinafanya vizuri kuliko hawa jamaa either way
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimesoma hadi mwisho ila kuanzia paragraph ya tatu maelezo ya hizo ruti mpya ni full kuchanganyika na kama ikiwa hivyo aysee gari zitagongana kila uchao.Ushauri:- magari yote yanayotoka gongo la mboto kwenda mjini kupitia barabara ya Uhuru yote yapite daraja la mfugale, kisha barabara ya buguruni Rozana inyooshwe kwenda barabara ya Nyerere ikiungia pale NBC, magari kutoka Tabata na Kwa Mnyamani ndiyo yapite buguruni shell kufuata barabara ya Uhuru kwenda mjini. Magari kutoka Gongo la mboto kwenda Ubungo tu ndiyo yakunje pale tazara kwenye daraja la Mfugale, pale buguruni shell kutoka tazara magari yasipinde kulia kufuata barabara ya uhuru. Abiria wote kuelekea Gongo la mboto kutoka mjini wapande na kuteremka kwenye kona ya Rozana.
Abiria kutoka Ubungo kwenda Gongo la mboto na mbagala ndiyo wapande na kuteremka buguruni shell kituo cha sasa.
Magari yanayotoka mbagala kwenda Rozana nayo yaungane na yale yanayotoka gongo la mboto kwenye daraja la Mfugale.
Daraja la Mfugale liongezwe mpaka pale NBC ili magari yanayotoka Rozana yapite chini kuingia barabara ya Nyerere.
Nina uhakika foleni ya Tazara kutoka bandarini na mbagala itapungua.
Injinia Mfugale weka mchoro.
Mbona kama umejijibu mwenyewe?Naomba mnijibu hili swali ndugu wavuja jasho wenzangu.
Taa za kuongozea Magari dhumuni lake ni nini!?
Soma kwa umakini utafakari na uhalisia uliopoMbona kama umejijibu mwenyewe?
Zinashindwa kazi huku zikiwa zinawaka katika utaratibu wake!?
Nadhani SGR ikianza kazi hii pressure itapungua maana malorry yatachukulia mizigo huko Morogoro..Bandari kuwa bagamoyo ingepunguza stress
Pia reli au kutengeneza outer road ndio solution
Kuna nyakati za rush hours Human Intelligence inahitajika for maximum efficiency. Taa zinaweza zikaita hata kama hakuna gari uoande huo na ikasimamisha uoande ambao una magari kwa sababu ni kama programmed robot, halifikirii kama binadamu, umenielewa?Zinashindwa kazi huku zikiwa zinawaka katika utaratibu wake!?