Baada ya kukaa masaa matatu kwenye foleni, nauliza, hatuwezi kujenga flyover juu ya Mfugale bridge?

Baada ya kukaa masaa matatu kwenye foleni, nauliza, hatuwezi kujenga flyover juu ya Mfugale bridge?

Nadhani SGR ikianza kazi hii pressure itapungua maana malorry yatachukulia mizigo huko Morogoro..
Story tu hizo,Ni kama walivyosema tukianza kutumia gas ya Mtwara tatizo la umeme litakua historia nchi hii na bei itashuka maradufu sasa wamehamia kwny tukikamilisha stiglers mgao ni ndoto.



dodge
 
Kuna nyakati za rush hours Human Intelligence inahitajika for maximum efficiency. Taa zinaweza zikaita hata kama hakuna gari uoande huo na ikasimamisha uoande ambao una magari kwa sababu ni kama programmed robot, halifikirii kama binadamu, umenielewa?
Hizo Rush hours huwa ni za wanaotoka mjini tu nyakati za jioni na asubuhi kwenda ikiwa wanaotokea au kwenda pembezoni mwa mji wao wanakuwa hawana thamani!?
 
Kwa bandari Inawezekana ingekuwa solution kwa watu wa dar lkn huenda tatizo lingekuwa limehamia bagamoyo na kwingineko.

Wazo la pili naunga mkono.
Wacha bandari kavu ihamie huko morogoro maana bado kuna mapori ya kutosha tu tofauti na huku pamebana sana
 
Back
Top Bottom