Story tu hizo,Ni kama walivyosema tukianza kutumia gas ya Mtwara tatizo la umeme litakua historia nchi hii na bei itashuka maradufu sasa wamehamia kwny tukikamilisha stiglers mgao ni ndoto.Nadhani SGR ikianza kazi hii pressure itapungua maana malorry yatachukulia mizigo huko Morogoro..
Yes, au puguNadhani SGR ikianza kazi hii pressure itapungua maana malorry yatachukulia mizigo huko Morogoro..
Hizo Rush hours huwa ni za wanaotoka mjini tu nyakati za jioni na asubuhi kwenda ikiwa wanaotokea au kwenda pembezoni mwa mji wao wanakuwa hawana thamani!?Kuna nyakati za rush hours Human Intelligence inahitajika for maximum efficiency. Taa zinaweza zikaita hata kama hakuna gari uoande huo na ikasimamisha uoande ambao una magari kwa sababu ni kama programmed robot, halifikirii kama binadamu, umenielewa?
Kwa bandari Inawezekana ingekuwa solution kwa watu wa dar lkn huenda tatizo lingekuwa limehamia bagamoyo na kwingineko.Bandari kuwa bagamoyo ingepunguza stress
Pia reli au kutengeneza outer road ndio solution
Wacha bandari kavu ihamie huko morogoro maana bado kuna mapori ya kutosha tu tofauti na huku pamebana sanaKwa bandari Inawezekana ingekuwa solution kwa watu wa dar lkn huenda tatizo lingekuwa limehamia bagamoyo na kwingineko.
Wazo la pili naunga mkono.