Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Nimekaa naye miaka zaidi ya 4 hapa katikati tulipitia migogoro kadhaa mpaka nusu ya kuachana
Basi leo ni siku ya pili naogeshwa ndani kwenye beseni na hajawahi fanya hapo kabla. Je? Au kuna sehemu kajifunza nahisi itakuwa ni mtandaoni. Maana naona kama movie hivi ila ndo ukweli wenyewe hivo.
Au mtego?