Kwamba kipindi Cha kupukutika kimefika 😅Braza andika wosia mapema hatokuwa nawewe muda si mrefu!
niko pale nasubiria litokee jambo! eti uogeshwe kwenye beseni na mmetokea kwenye migogoro!Kwamba kipindi Cha kupukutika kimefika 😅
Usimtishe kijana wa watu mwambie tu ajiandae kwa lolote maana.....niko pale nasubiria litokee jambo! eti uogeshwe kwenye beseni na mmetokea kwenye migogoro!
Wapare tumekukosea nn WwAtakuwa mpare tu huyo.
Yaani unakaa uogeshwe kwenye kibeseni chumbani ? Kweli uchawi upo.