benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Baada ya Kukabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye leo Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zitawasilishwa Rasmi Bungeni ambapo kwa mujibu wa taratibu ripoti nzima sasa itakuwa wazi kwa umma Orodha ya shughuli rasmi za Bunge inaonesha kupokelewa kwa ripoti hiyo na nyingine kadhaa
Bungeni ripoti hiyo itapelekwa Kamati za Bunge husika kama PAC, PIC na LAAC ambapo watzipitia na waliotjwa wataitwa kuhojiwa na kamati hizo kwa niaba ya Bunge ambapo baada ya hatua hiyo Bunge litatoa mapendekezo kwa Serikali juu ya hatua za kuchukua!