#4,,,umenena Kwa hisia sana.PICHA LINAANZIA HAPA.
1. CAGA anamkabidhi Rais Ripoti.
Mkubwa anaipokea, ananuna, anasonya, anatukana STUPID, WAPUMBAVU na kikao kinaisha. Na anaelekeza ipelekwe bungeni.
2. SPIKA wa Bunge anaipokea Ripoti Ili ijadiliwe na Bunge.
Wabunge wanatoa povu, wataonyesha kukasirishwa na vitendo vya watuhumiwa Kisha wataazimia baadhi ya masuala na kurudisha Kwa Mkubwa Ili achukue hatua.
3. MKUBWA anaipokea maazimio.
Anayasomaa, anaangalia michangoo, anatabasamu Kisha anaichukua Ripoti na kuitupa KAPUNI. Na kusubiri CAGA alete Ripoti ingine mwakani.
SWALI;
1. Bilioni 350 waliolipwa Symbion Kwa Ripoti ilopita zimerejeshwa?
2. Fedha alizohoji Mpina Trilioni 1.5 kwenye Ripoti ilopita ambayo mkandarasi wa Bwawa la JKN alizopaswa kurudisha Kwa kuongeza muda kinyume na mkataba zimerudishwa?
3.Nani aliruhusu kununua treni chakavu bila kufuata SHERIA inayotaka Serikali kununua brand new? Na change Iko wapi maana malipo yalitoka kununua mpya?
4. Ni Kweli mnadharau wananchi Kwa kiasi hicho?
Tusubiri.
Welldone mkuu umechangia mada hii kwenye kiwango cha A1,mazuzu wa kitanzania within 3weeks wanasahau na kurudi kujadili ngono na simba/yanga!,kitu kidogo kabla ya kufanya push back...mbio JF kulalama!PICHA LINAANZIA HAPA.
1. CAGA anamkabidhi Rais Ripoti.
Mkubwa anaipokea, ananuna, anasonya, anatukana STUPID, WAPUMBAVU na kikao kinaisha. Na anaelekeza ipelekwe bungeni.
2. SPIKA wa Bunge anaipokea Ripoti Ili ijadiliwe na Bunge.
Wabunge wanatoa povu, wataonyesha kukasirishwa na vitendo vya watuhumiwa Kisha wataazimia baadhi ya masuala na kurudisha Kwa Mkubwa Ili achukue hatua.
3. MKUBWA anaipokea maazimio.
Anayasomaa, anaangalia michangoo, anatabasamu Kisha anaichukua Ripoti na kuitupa KAPUNI. Na kusubiri CAGA alete Ripoti ingine mwakani.
SWALI;
1. Bilioni 350 waliolipwa Symbion Kwa Ripoti ilopita zimerejeshwa?
2. Fedha alizohoji Mpina Trilioni 1.5 kwenye Ripoti ilopita ambayo mkandarasi wa Bwawa la JKN alizopaswa kurudisha Kwa kuongeza muda kinyume na mkataba zimerudishwa?
3.Nani aliruhusu kununua treni chakavu bila kufuata SHERIA inayotaka Serikali kununua brand new? Na change Iko wapi maana malipo yalitoka kununua mpya?
4. Ni Kweli mnadharau wananchi Kwa kiasi hicho?
Tusubiri.
Viongozi wanatuona sisi kama Mazwazwa!!!#4,,,umenena Kwa hisia sana.
Ni kwasababu CAG wa sasa kapewa UHURU wa kufanya kazi yake bila kuficha chochote au bila maelekezo.Round hii hawamtukani CAG kama walivyofanya kwa Prof. Assad ??
The life goes on.. hiyo sio ya kwanza kupelekwa bungeni without any action!!Baada ya Kukabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye leo Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zitawasilishwa Rasmi Bungeni ambapo kwa mujibu wa taratibu ripoti nzima sasa itakuwa wazi kwa umma Orodha ya shughuli rasmi za Bunge inaonesha kupokelewa kwa ripoti hiyo na nyingine kadhaa
Bungeni ripoti hiyo itapelekwa Kamati za Bunge husika kama PAC, PIC na LAAC ambapo watzipitia na waliotjwa wataitwa kuhojiwa na kamati hizo kwa niaba ya Bunge ambapo baada ya hatua hiyo Bunge litatoa mapendekezo kwa Serikali juu ya hatua za kuchukua!
View attachment 2578060View attachment 2578061View attachment 2578066
“Watupishe” 😂Ni kwasababu CAG wa sasa kapewa UHURU wa kufanya kazi yake bila kuficha chochote au bila maelekezo.
Pongezi nyingi kwa Mhe.Rais Dkt. Samia kwa kuipa uhuru ofisi ya CAG kufanya kazi zake bila kuficha au uoga.
Vivohivyo ili kuipa heshima kazi ya CAG basi ni lazima hatua za uwajibikaji/kuwajibisha wale wote walio guswa direct or indirect waondolewe.