Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wala hata haina tabu mkuu..hata hapo poa sio lazima kule juuMmmmmmmh.....Mkuu leo umekuwa wa #63 kuchangia? Kweli sasa naona umepata ' Washindani ' waliotukuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hata haina tabu mkuu..hata hapo poa sio lazima kule juuMmmmmmmh.....Mkuu leo umekuwa wa #63 kuchangia? Kweli sasa naona umepata ' Washindani ' waliotukuka.
Pole sana shafii
Muhulize
Mohammed Ally wazamani KTN alivyoumbuka kwenye Zoezi La Kupata Nafasi yakugombea ubunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Ametoa rushwa au hajatoa? Tuanzie hapo kwanza...punguza mahaba kwa Dauda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe..huyo ilikuwa lazima awe disqualified hata ka asingejitoa maana keshakiuka taratibu, eti ndondo Mwanza ndo imewakutanisha, kiongozi wa Dsm kilimpeleka nini pale? vipi wa Mbeya? wa Shinyanga? na vipi wa Simiyu? kweli ilikuwa bahati mbaya ile? yote ilikuwa ya kutia ndani tu.Wapi nimeonyesha hayo ' Mahaba ' Kwake? Pumbavu!
Ana elimu gani ya Uandishi wa habari?
Vipi kuhusu mlungula uliye toa na sasa unajivua gamba°?unajua uadilifu ni kitu muhimu kwa jamii,,,utashika mangapi mkuu jaribuni kukinai kwa kile ulicho nacho ebooooo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichokuuma ni nini hadi utumie neno kali hivyo?Wapi nimeonyesha hayo ' Mahaba ' Kwake? Pumbavu!
Kilichokuuma ni nini hadi utumie neno kali hivyo?
Anyway, swali la msingi lipo pale pale...ametoa rushwa au hajatoa?.
PUNGUZA MAHABA KWA 'CMG' ili uelewa mambo mengi.
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Maneno ya kwenye kanga hayo,anzisha kundi la taarab ili ukashambulie jukwaa.Wenye akili kubwa tunaongea maneno machache tu,bila matusi.Kama neno ' Pumbavu ' ni neno Kali nadhani leo hii Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu ( 3 ) Mzee Benjamin William Mkapa ' Genius ' angeshashtakiwa na hata kuhukumiwa kwani ni neno ambalo hulipenda kulitumia sana kwa ' Wapumbavu ' wenzako ila mpaka leo ' anadunda ' zake tu. Kama haitoshi neno hilo hilo la ' Pumbavu / Pumbafu ' limetumika na Mwenyezi Mungu katika Kitabu chake Kitakatifu cha Biblia mara 22 hivyo najivunia kuwa siyo neno baya kwakuwa hata aliyetuumba amelitumia vilivyo.
Kuniuliza kwamba ama Dauda alitoa Rushwa au hapana naona ni muendelezo wako ule ule wa ' Upumbavu ' niliouona Kwako kabla kwani kama ungekuwa una ' akili ' au ' IQ ' kubwa tu usingeuliza hili swali Kwangu wakati unajua fika kwamba tayari TAKUKURU / PCCB wanalifanyia Uchunguzi na Kisheria / Kimamlaka wao ndiyo wenye dhamana nzima ya kutuambia ukweli wote wa mambo Sisi Watanzania na hasa Wadau wa Michezo.
Halafu nikiwadharau kuwa hamjui ' Kufikiri ' mnanikasirikia na kuninunia.
Mwisho kwa faida yako tu ni kwamba........
Mjinga / Ngumbaru huwa anafundishika
Mpumbavu / Popoma hafundishiki ng'o hadi Kiama
Kila la kheri.
Thanks Kwa ufafanuzi broMkuu huyo Simon Simalenga Yeye ni Afisa Mahusiano tu wa Clouds Media Group na hata huyo Sebastian Maganga nae bado yupo na kama sijakosea ' Kicheo ' hapo Yeye ni baada ya Ruge ukiachia mbali ' Taita ' mwenyewe Joseph Kusaga na Mkewe. Shaffih Dauda ni Mkuu tu upande wa Radio huku kama sijakosea katika Tv Bosi kule ni Mwanadada Joyce Shebe ( ambaye hata hivyo nasikia kabadili dini Kisirisiri kuwa Muislamu na hadi pia kuolewa Kisirisiri ) akishirikiana na Kijana wa miaka ya kati Jerome Risasi huku upande wa Choice fm Bosi wao Mkuu akiwa ni Mpenda ' Kujiremba ' Antonio Nugas a.k.a Mtembezi.
Maneno ya kwenye kanga hayo,anzisha kundi la taarab ili ukashambulie jukwaa.Wenye akili kubwa tunaongea maneno machache tu,bila matusi.
Ungejua kuwa kuna mamlaka 'TAKUKURU'usingekuja na mafuta kujaribu kumpamba mtuhumiwa.Funga mdomo.
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Kwani uchambuzi wa michezo ni kazi haramu?Njaa itawauwa hawa wanajiita wachambuzi wa michezo.... Dr. Leaky alifanya hii kazi akiwa na other sources of money... Sasa hawa wakina Shafi, Jesse John, Kumwembe hawataki kutafuta kazi halali, badala yake wamebaki kuuza sura kwenye runinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal ina nini na hata isiandamwe? 15 yrs no EPL?Tena huyu boya huwa anatuandama sana Arsenal bora takukuru wangemlaza kama jamaa mkuu wa TFF akili imkae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, aisee we jamaa mbishiKuandika Makala Mwanaspoti hulipwi bana. Nimefanya kazi zaidi ya miaka 6 kwenye media house
Azam pia halipwi.
Hiyo ya south anaenda kama mchambuzi. Which i dont think kama wanalipwa salary. Kama wachambuxi wangekuwa wanalipwa basi Supersport watakuwa na ela zaidi ya ACACIA manake kila siku wana wachambuzi wapya, tena kutoka mataifa mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app