Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

hapo kwenye kupika kama ni fundi mzuri Ni PM!! napenda mwanamke anayejua kupika
 
Aisee ; we sema unataguta mtu wa kukugegeda una genye .. Maana nimeona umekazia sana kuhusu mgegedo hapo
 
Nilipoona makalio ya kawaida umenikata stimu. M/mke chura tabia tutarekebishana
 
Kuna mtu anataftwa hapa huu ni Mtego.
 
Yani vigezo vigumu kama jiwe asiwe mrefu wala mfupi age 50 hatumo
 
Sasa kama hajapata kwanini asiendelee kutafuta!
 
Vipi 0713 unatoa?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…