Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

hapo kwenye kupika kama ni fundi mzuri Ni PM!! napenda mwanamke anayejua kupika
 
Aisee ; we sema unataguta mtu wa kukugegeda una genye .. Maana nimeona umekazia sana kuhusu mgegedo hapo
 
Nilipoona makalio ya kawaida umenikata stimu. M/mke chura tabia tutarekebishana
 
Wanaume wenzangu nawaambieni na nawaomba mnisikilize.
Huyu kihuba yawezekana kabisa hatafuti mchumba wala nini bali ana mission yake anaifanya kwa stayle ya kutafuta mchumba.
Kwa nini nasema hivi?
Huyu mtu ana thread nyingi sana za kutafuta mchumba, tangu mwaka jana au mwaka juzi anatafutaga tu mchumba?
Simkatazi yeyote kumuamini kihuba ila muamini at your own risk.
Maxence Melo
Kuna mtu anataftwa hapa huu ni Mtego.
 
Sasa kama hajapata kwanini asiendelee kutafuta!
 
Habari zenu wandugu Bado sijapata mume Wala mchumba yote ni kwasababu masiara mengi humu jf

Natoa nafasi nyingine kwa mwaka huu

Mwanaume anae hisi anahitaji mke

Sifa zake

Awe mwanaume haswa sio mwanaume asie jiamini
Dini mkristo
Umri miaka 29-40
Awe na nguvu za kufanya tendo la ndoa maaana. Mimi napenda Sana tendo la ndoa kupitiliza
Maji ya kunde au weusi wa kawaida usizidi
Mchapa kazi na anae penda mjasiliamali
Sitaki mwanaume mwenye tabia za kike maneno mengi Kama mtunzi wa stori
Mwenye mashauzi ya kujisikia sitaki pia
Awe na utu kwa wenzake
Asiwe mrefu Wala mfupi

Tabia zingine tuta zishepu

Sifa zangu
Binti mpole na mwenye msimamo thabiti,tofauti na hapo ni mwepesi kuchukia na mtu wa haraka kusameehe

Sio mwembamba Wala mnene nipo Kati na nyama kiasi
Makalio ya kawaida
Rangi mweusi
Napenda kupika na kufanya kazi zingine za nyumbani
Mcheshi ila sipendi kuonewa kupitiliza
Umri 28
Elimu kidato Cha nne
Sina kazi yoyote ila uwa nafanya vibarua vya hapa na pale Kama kubebea maji mafundi kufua nguo za watu na kusafisha ofisi za watu

Mengine tutazungumza

Kama hujapendezwa soma pita tu.

Pm wazi Ila sitaki maswali Kama tupo maahakamani .

Ni pm jieleze sifa zako weka na mawasiliano ntakutafuta nikiona nimesukumwa nikutafuta

Kwa mtu mwenye masiara mie ndo fundi
Vipi 0713 unatoa?!!
 
Back
Top Bottom