mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Kei ndio niniNa kei pia iko wazi! Kheee kheeeee kheeeeeeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kei ndio niniNa kei pia iko wazi! Kheee kheeeee kheeeeeeee.
MythVyote!
umeona eeeeeeeeeeeeeeeeNatamani siku upate hitajilo , tatzo Mentality yako inadhani wanaume ni malimbukeni sana kwenu( unaweka mashart ambayo hawo wenye sifa hizo wakikutathimini wanagundua kuwa ww ndio huna sifa au hufanan na sifa za zao) . Ndio maana unalazimisha .unashindwa kujifikiria mwenyewe kwanini hawatokei?
Je mtaani kwenu vidume vya aina gan vinakusumbua na kama havikusumbui kwanini? Anzia hapo ili ujue unahitaji mtu wa aina gan kulingana na idad kubwa ya wanaokufuata Mara kwa mara
Nnacho kushaur MTU yyte akikupenda mtathimini base kwnye suala zima LA mwenendo wake sana kuliko appearance ..
Rizik mantashaa mama . NDEGE WAFANANAO MANYOYA NDIO WANARUKA PAMOJA....... PAMBANA NA SPECS ZAKO
GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.
Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.
Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.
Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.
PM IPO WAZI
Reality!Myth
Uke.Kei ndio nini
Wanawake mmetushinda kwa tabiaMoja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.
Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.
Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.
Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.
PM IPO WAZI
Mkuu siku zote sikujua, unisamehe bure.
Hiyo ndio jf bhanaaMkuu siku zote sikujua, unisamehe bure.
Sister na wewe unatafuta mke??Yaan mie sina mke na naitafuta kweli. Tena hata Leo ngekutolea mahari.
Ila ww jeuri sana aisee nilivokua sipendagi jeuri nitakufundisha burre niishie kunyea ndoo
Sent using Jamii Forums mobile app