Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natamani siku upate hitajilo , tatzo Mentality yako inadhani wanaume ni malimbukeni sana kwenu( unaweka mashart ambayo hawo wenye sifa hizo wakikutathimini wanagundua kuwa ww ndio huna sifa au hufanan na sifa za zao) . Ndio maana unalazimisha .unashindwa kujifikiria mwenyewe kwanini hawatokei?
Je mtaani kwenu vidume vya aina gan vinakusumbua na kama havikusumbui kwanini? Anzia hapo ili ujue unahitaji mtu wa aina gan kulingana na idad kubwa ya wanaokufuata Mara kwa mara

Nnacho kushaur MTU yyte akikupenda mtathimini base kwnye suala zima LA mwenendo wake sana kuliko appearance ..
Rizik mantashaa mama . NDEGE WAFANANAO MANYOYA NDIO WANARUKA PAMOJA....... PAMBANA NA SPECS ZAKO

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
umeona eeeeeeeeeeeeeeee
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.

PM IPO WAZI
tapatalk_1501353203041.jpeg
 
Tutume picha kwani wewe ya kwako umetuma hapa?

By the way mwanamke chura kama huna hata sura ingekusaidia ungezalishwa mtaani kwenu, sasa mpaka leo hola halafu unajishaua hapa jf?
Kila la kheri.
 
Huwezi pata mume hata ata uyo wa kukupa iyo mimba maana kama unataka wazalishaji hawapp jf nenda hosptal wapo manesi na wauguzi afu ubabe unazidisha mpaka kuandika una andika kibabe au ndo mawazo maana umri ukisha zidi 35 bila mme hakujawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulafu futi 5 baada ya hapo mahusiano yafe, mtoto nitamlea mwenyewe na
sitaki kufatiliana kwa lolote.

Mwenye sifa hizo ani pm haraka ntajibu sms 20 tu za mwanzo sitaki blabla nyingi na maswali mengi pm.

Kama unazalisha njoo pm sema nazalisha tuma picha na namba yako nitakutafuta mimi nikivutiwa na picha yako.

Narudia sitaki maneno mengi pm sms ya kwanza andika nazalisha ya pili tuma picha ya tatu namba yako ntachagua mimi wa kuzaa nae.

PM IPO WAZI
Wanawake mmetushinda kwa tabia
Ebu wasiliana na huyu mwenye shida kama yako
 
Back
Top Bottom