Huyu anacheza na akili za wanaume wa jfHii ni thread ya 6 uliyoanzisha, na zote unataka mwanaume. Ni jambo jema, ila mimi naomba akikosa mume, utafute majibu ya maswali yafuatayo:
1. Je, Ndoa ni mpango wa Mungu au mwanadamu?
2. Je, Mungu aliyekupa ulivyonavyo kwa nini hakukuamini kupita kiasi akakupa kwa wakati uupendao?
3. Ni udhaifu upi unaofanya wanaume wanaokufahamu wasikuoe mpaka utafute huku? Unaweza kufanya lipi ubadilike?
[emoji3] hata korosho anataka
Kasema mfuate PM, atakujibuumri wako?
siendi pm aweke kila kitu hapa.Kasema mfuate PM, atakujibu