Tukiwa kwenye Biaya 7 anaweza pata mbegu lakini hivi hivi asahau.Nenda ukaweke mtego bar huko ndio hua tunapatikana sana.
Dah basi upo vizuri[emoji39] [emoji39] [emoji39]He he heeeeh mie ni ke. Hapo nilivaa uhusika wa me. Avatar ni picha halis
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa perseverance hii, bila shaka utapata hivi karibuni. Ubarikiwe!Habari zenu wanachama wa JF,
Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.
Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.
Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana