Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kundu unanitoa roho kwa kicheko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13]Hali ngumu mpaka wanaume wamegoma kutongoza watu wanajifia na genye mitaani kweli tunaisoma namba, wanawake tutembee na mabango Kama Yule mama WA kikenya Hali tata.