Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Me napenda kutaja majina kwa vifupi.
Mf
Joy
Dulla
Sam

Sa nkitaja lako kwa kifupi linapendeza saaana

Ku
Afu
Ndu

Yaaani


KUNDU
[emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaa unaleta utani na majina ya watuu
 
Ukiona punani ipo bure mezani wadau wanaikwepa ujue majanga
 
Toa sifa zako watu wajue huko PM wanafuata mtu wa aina gani
 
Nakuja PM

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Punguza shart basi. Weusi hapo nionee huruma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Hali ngumu mpaka wanaume wamegoma kutongoza watu wanajifia na genye mitaani kweli tunaisoma namba, wanawake tutembee na mabango Kama Yule mama WA kikenya Hali tata.
Kunduva naomba kazi.
 
Natafuta mwanaume wa kuniiwaza na kunipa raha na si vinginevyo nimechoka kuwa mpweke awe na sauti nzuri ya kimahaba maumbile ya mvuto na kifua cha kuvutia asiwe mweusi sana
mwenye kupenda aje pm

Tuma picha na namba yako

sitaki maelezo mengi sana

kesho mechi jamani nawakumbusha tu YANGA NA SIMBA
ntajibu 10 wa mwanzo tu
Picha yako iwapi?

sent from kanyau
 
Nani mjinga atakayeweza ku-PM "chuma ulete".sasa hivi watu tunaishi kwa kamshahara kaliko katwa katwa sanaaa, Bodi ya mikopo 15% , ukigeuka huku nao postal bank wanakata rejesho lao.na kule sacoss kila siku wanikumbusha kwamba nimechelewesha marejesho.na zile posho zote sijui zimepotelea wapi jamani.sasa hii sh 173,174 iliyobaki ndiyo inabidi itoshe kila kitu including kodi pamoja na ada ya mwangu Mudi ya sh 10,000 kila mwezi pale chekechea.Ijapokuwa imebidi nihamie chumba cha giza yaani kisicho na umeme angalu kodi imepoapoa.usichukulie poa, mimi ni graduate afisa wa serikali ofisi nyeti.

Halafu mtu ananiambia ati ni PM
Wacha niendelee kukuita shemeji
 
Back
Top Bottom