Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

now pesa hamzitaki?
btw sikukejeli mchumba wa kweli anakuja kwa maombi baada ya kumkabidhi mungu hitaji lako


ubarikiwe
 
"Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe..."

Hii tu inaonesha hauko serious na kama kweli huna mchumba Mungu hajakosea , kwa akili hizi hutokuja kupata. Pumbavu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbegu zangu bora nipige nyeto kuliko kuweka kwako mwenye kiburi hivyo.

Sukari Yenu
 
Hapa ni kama mchezaji anaenda kupiga penati halafu wewe ndio kipa unamuonesha upande unaoruka, ushaonesha unachotaka watakuja kwa gia hiyo hiyo, kua makini wasipige na kusepankwa kigezo cha kuoa.

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Inaonyesha utakua m'baya sana mpaka unakosa mwanaume!!?

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wanachama wa JF,

Natafuta mwanaume ambae Mungu akitujalia awe mwana ndoa wangu, umri kuanzia miaka 27 kuendelea, awe na kazi yoyote inayo weza kumuingizia kipato kujituma maji ya kunde urefu futi 5, Mkiristo awe na mapenzi ya dhati.

Kwa upande wangu sijawahi zaa, sijawahi olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm
Karibuni mliovutiwa na ujumbe wangu
Mungu awabariki sana
Kwa perseverance hii, bila shaka utapata hivi karibuni. Ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom